Mbunge kuwa waziri ndio inarahisisha maendeleo ya jimbo lake??

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Hivi sasa ndugu zangu hapa Sumbawanga wanalalamika kupata mbunge ambae hana elimu. Wanasema eti CCM ingesimamisha mtu aliye na elimu huenda wangepata angalau waziri hata mmoja ambae angeharakisha maendeleo ya mkoa.
Hivi sasa wanajuta kuichagua CCM eti kwa kigezo kuwa hakuna waziri hata mmoja kutoka mkoa wa Rukwa zaidi ya Pinda ambae hivi sasa yeye ni wa mkoa wa Katavi.
Pia wanatoa takwimu kabisa kuwa wilaya ya Mpanda anakotoka Pinda inaendelea haraka kuliko Sumbawanga.
Hivi kuna ushahidi wowote kuwa mawaziri wanapendelea majimbo yao???
 
Hiyo sio kweli tena bora awe mbunge tu kuliko kuwa mbunge alafu waziri,kuna mawaziri wengi tu hakuna chochote walichoyafanyia majimbo yao zaidi ya kuonekana tu kipindi cha kampeni.
 
Back
Top Bottom