Mbunge kubenea atumia kanisa la Gwajima kurusha vijembe

Jeanclaude

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
259
237
Leo Jumapili mbunge wa Ubungo, Mh Said Kubenea alikuwa katika Kanisa la Askofu Gwajima. Nimeshangazwa Kubenea kutumia nyumba ya ibada kufanya siasa za vijembe, ajabu zaidi ni Askofu Gwajima kuruhusu mwanasiasa kutumia madhabahu kueneza propaganda za upande mmoja.

Kubenea tafuta majukwaa mengine mahususi kwa ajili ya siasa badala ya kutumia makanisa au misikiti. Kama unataka kujua chanzo fedha za kujenga makao makuu ya Bakwata mtafute mhusika usiende kumlilia Gwajima. Tazama kuanzia 2:35:00

Leo Jumapili mbunge wa Ubungo, Mh Said Kubenea alikuwa katika Kanisa la Askofu Gwajima. Nimeshangazwa Kubenea kutumia nyumba ya ibada kufanya siasa za vijembe, ajabu zaidi ni Askofu Gwajima kuruhusu mwanasiasa kutumia madhabahu kueneza propaganda za upande mmoja.

Kubenea tafuta majukwaa mengine mahususi kwa ajili ya siasa badala ya kutumia makanisa au misikiti. Kama unataka kujua chanzo fedha za kujenga makao makuu ya Bakwata mtafute mhusika usiende kumlilia Gwajima.
.
Sasa wewe unafikiri tupo kwenye kichwa chako kujua ulichoona/waza?
Jiongeze , hatutakagi ujinga!
 
Alipoenda makonda hamkuanzisha uzi wenu ila kwa sababu ni kubenea basi ishakuwa nongwa! Safari hii nendeni kwa mzee wa upako gwajima hawahitaji tena! kama imekukera acha kwenda kusali makanisa mengine yapo nenda huko hujalazimishwa kwenda wala kusikiliza vinavotoka ufufuo na uzima !
 
Mkuu kiukwel kawashika pabaya wpinzani japo kuwa ana mapungufu yke km Mwanadanu mwingine yyt yle ila kwenye Siasa amewakamata na hyu bosi wawapinzani sijui ameingiya kwenye 18 za wtu mbona Sirro anamtfuta hpatikani aende kma Gwajima alivyokwenda k hahucki na chchote arudi mtaani akae kwa Amani
 
Hogwash thread kabisa umeweka. Sasa ivo vijembe unavyodai mbona hujaviandika? Kabla hujapost jaribu kuunganisha akili na unachoandika
 
Leo Jumapili mbunge wa Ubungo, Mh Said Kubenea alikuwa katika Kanisa la Askofu Gwajima. Nimeshangazwa Kubenea kutumia nyumba ya ibada kufanya siasa za vijembe, ajabu zaidi ni Askofu Gwajima kuruhusu mwanasiasa kutumia madhabahu kueneza propaganda za upande mmoja.

Kubenea tafuta majukwaa mengine mahususi kwa ajili ya siasa badala ya kutumia makanisa au misikiti. Kama unataka kujua chanzo fedha za kujenga makao makuu ya Bakwata mtafute mhusika usiende kumlilia Gwajima.

Akili zako fupi kuliko komo chako.
 
Back
Top Bottom