Mbunge Kubenea aandika barua TCRA akilalamika kudukuliwa

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Mbunge wa jimbo la Ubungo Said Kubenea ametuma barua TCRA akilalamika kudukuliwa mawasiliano yake ya simu na watu wasiojulikana

Kubenea amesema watu hao wamekuwa wakifuatilia mawasiliano yake na Anthony Komu pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mbeya China Mwasote.

IMG_20191126_110553.jpeg
IMG_20191126_110558.jpeg
 
Mleta made ni mbea sana, yaani sijawai kutype ila umbea umekuzidi, katika iyo barua wapi nimeandika kuwa "....NDANI YA CHADEMA", punguza mahaba
 
Mleta made ni mbea sana, yaani sijawai kutype ila umbea umekuzidi, katika iyo barua wapi nimeandika kuwa "....NDANI YA CHADEMA", punguza mahaba
Wewe ndio Kubenea, haya tuambie nani wanafuatilia mawasiliano yenu.?

Kama vipi tuwekee na hizo audio zinazosambazwa kwenye magrup inazosema zimeungwa ungwa.

Au tayari mnakambi yenu, Kubenea, Komu na China Mwenyekiti wa Mbeya
 
Mleta made ni mbea sana, yaani sijawai kutype ila umbea umekuzidi, katika iyo barua wapi nimeandika kuwa "....NDANI YA CHADEMA", punguza mahaba
Ni kwamba dunia nzima inajua kwamba kubenea na komu waliwahi kudukuliwa mazungumzo yao na chadema wenyewe kwa wenyewe na hadi kupelekea wao kusimamishwa kwa muda wa mwaka mmoja kujishughurisha na siasa za ndani ya chadema.

adhabu iliyoamvatana na karipio kali.

sasa chadema kuelekea uchaguzi mkuu wa ndani ya chama,ndio tunaanza kuyasikia haya.
 
Back
Top Bottom