Mbunge kortini kwa kumkashifu Kikwete

Unajua nchi yetu bado kuna zile enzi za kutishana, na kwamba utakuta hao polisi wala hawajatumwa ila wanaona kuwa wamewekwa hapo na CCM.
 
Hata huyo Mao Zedong mwenyewe alikuwa anakoselewa, itakuwa Kiwete?
 
Polisi wengi sana hawana taaluma ya kisheria ndio maana kunakuwa na shida sana katika kufanya kazi, hapa sijaona kosa lolote lile baya
 
Hata wakati anatoa hotuba yake kule UN kuna jambo aliongea halafu akacheka saanaaaaaa na jambo lenyewe halikuwa la kufurahisha kihivyo! Walipompigia makofi aka pause kabisa na lile tabasamu lake na gigling za nusu dakika! huku anaangalia kila upande as if anawakumbusha " I am here!" It is me who said that!
 
Jamani mbona hivyo furaha ni tabia ya Watanzania hata kama ni jambo la kuudhi sisi tunacheka tu, Umaskini tunacheka, rushwa tunacheka, kila kitu tunacheka
 
Kila kesi ya jinai inakuwa na mlalamikaji, katika hii kesi yetu mlalamikaji ni nani?Usumbufu kwa majirani waliokuwepo !!!!! sounds like nuisance sidhani kama nuisance ni jinai hii ni tort per se.Hao majirani waliokuwepo kwa nini wasiondoke walivyoona usumbufu wakaendelea kubakia?Mikutano ya hadhara hivyo bado inahitji kibali siku hizi nilidhani kinachotakiwa ni kutoa taarifa polisi basi
 
....jina la MTOTO lina maana nyingi sana yakhe!

hahahaha! una maana gani mh? Usijali jina. Tatizo JF kuna watu wanajifanya wanajua sana. Mao alikuwa na critics gani waliotembea wazi na kumkashifu? Unajua kitu kinaitwa Tiemann Square?...na hii ni baada ya Mao.
 
Wana forum, leo nimesoma makala ya kumsifia Maj. Gen. Paul Kagame kenye jalida la mwandishi mbishi Andrew Mwenda la Uganda www.independent.co.ug.
Watu wengi wanasema kafanya kweli. NAni kafika Rwanda atupe habari za kweli?
 
...ndio tatizo la kuchagua watu ambao muda wote wanafikiri wanatongoza

ukiwa kiongozi bana afu kiongozi wakuchaguliwa !!!!!!!!! tetetetee
 
Vasco Dagama wetu bado yupo USA?[/QUOT


IBN BATUTA wetu alikwenda Venezuela walikoalikwa na Chavez!! Wadanganyika huku wanakufa na njaa yeye Batuta anafungua jengo la balozi Washington lililoghalimu billioni KUMI!! Kwa mtindo huu atakosaje kuchekacheka?
 
waliochukua hatua wana nia mbaya na Rais kwa upande mmoja lakini huyu mama naye ajifunze kuchagua maneno, yukohovyohovyo kwa kauli.


Kuna mbunge mwanamke mwenye kauli hovyo hovyo kama mke wa Kitwana Kondo[ Sophia Simba]; na hata hivyo mkwere kampa Uenyekiti wa ccm wanawake na uwaziri!! What a joke?
 
hivi kwa namna rais wetu anavyopenda ku smile smile.....anaweza kukaa kati kati ya Huku CHEVES ..huku AHMEDENAJAD..HUKU..ghadafi..huku..MORALES.. huku..KIM JONG IL...

au mmepata kumuona putin ..au ...medeyev wakicheka...

kwa majirani mmepata kuona kagame,museveni,kibaki au bingu wanacheka..???..viongozi ambao wanaweza kumkaribia jk kwa kucheka na kutake issues ize ni kama zuma,mswati ....sikumbuki mwingine....

hawa marais sijapata kuwaona wakicheka hata mara moja...sijui labda wakiwa chemba na wenziwao[ambao wala sijapata kuwaona ..kuacha cheves ambaye naomi campbell alijipeleka akalambwa...akaachwa]...nahisi jk akikaa kati kati ya hawa mabazazi wanaweza wakajaribu kutest zali..kama vipi!!


tuambizane bana zali gani hilo namimi nkatest?
 
Back
Top Bottom