Mbunge Kingu: Askofu Gwajima alidhamiria kuchonganisha Serikali na Wananchi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1630406583572.png

Mbunge Elibariki Kingu amesema kwa mujibu wa Uchambuzi wake, Askofu Josephat Gwajima alidhamiria kuichonganisha Serikali na Wananchi ili watu wakose imani nayo.

"Kitendo cha Gwajima kujitokea hadharani na kuwaambia Watanzania Chanjo mnayokwenda kuchanjwa haijafanyiwa Utafiti, adhabu zisiishie hapo. Hata Halima Mdee hajawahi kutufanyia vitimbi vya namna hii".

Amesema anashangaa kwanini Chama cha Mapinduzi (CCM) haijachukua hatua dhidi ya Askofu Gwajima.
 
Serikali ambayo haina na mema na mwananchi ichonganishwaje tena wakti haina uhalali.

And also This is a psy-op.

What they are doing here,is putting your supposed anti-vaxx hero on a pedestal ,giving him a tongue lashing and embarrassing him so that at end ,you the citizens will be demoralized ..which is stupid 😆🤣🤣🤣

Hawa wapumbavu wanadhani watu wanapinga chanjo kwasababu za kijinga kama za Gwajima..wanadhani waTZ wote tuna akili za kijinga kama za kwao
 
tutafika mahali ukiwa mganga,askofu,shee,mchungaji,mkabila,darasa la saba bora kubaki huko maana ubovu wa katiba ndio inawafanya kuendesha nchi kwenye bunge
 
Askofu kibwengo alijiona kichwa sana ni zamu yake kupigwa sasa. Nasema Apigweeeeeeeeeeee
 
Pumba kabisa. Mama Samia atakuwa anawazoom tu. Gwajima kasema chanjo ni ya majaribio na hata Magufuli alishaonya, then huyu mbunge msaka tonge anadhani atateuliwa anaongea pumba
Gwajima anaropoka bila ushahidi , anadai kuna watu wamepokea pesa kupitisha chanjo , ameombwa ushahidi ameshindwa, wacha panga limpitie
 
Gwajima anaropoka bila ushahidi , anadai kuna watu wamepokea pesa kupitisha chanjo , ameombwa ushahidi ameshindwa, wacha panga limpitie
Je nini wapenda chanjo mna ushahidi wa utafiti wa madhara ya hiyo chanjo??? Wewe na wenzako kwa sababu mlikuwa na chuki binafsi na Magufuli ndiyo maana kila linaloenda kinyume na Magufuli mnalibeba bila kutumia akili.
 
Mbunge Elibariki Kingu amesema kwa mujibu wa Uchambuzi wake, Askofu Josephat Gwajima alidhamiria kuichonganisha Serikali na Wananchi ili watu wakose imani nayo

"Kitendo cha Gwajima kujitokea hadharani na kuwaambia Watanzania Chanjo mnayokwenda kuchanjwa haijafanyiwa Utafiti, adhabu zisiishie hapo. Hata Halima Mdee hajawahi kutufanyia vitimbi vya namna hii"

Amesema anashangaa kwanini Chama cha Mapinduzi (CCM) haijachukua hatua dhidi ya Askofu Gwajima
Gwajima ni muhaini,serikali inatakiwa imshughulikie ipasavyo
 
Pumba kabisa. Mama Samia atakuwa anawazoom tu. Gwajima kasema chanjo ni ya majaribio na hata Magufuli alishaonya, then huyu mbunge msaka tonge anadhani atateuliwa anaongea pumba
Haha mataga pori umelainika mnooo.

MaCCM mnavurugana wenyewe hadi wengine mnaanza kuleta story za marehemu pombe 🤣🤣
 
Back
Top Bottom