Mbunge Kigwangala apata ajali mbaya!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Kigwangala apata ajali mbaya!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chikakatata, Oct 13, 2012.

 1. c

  chikakatata JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

  Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?
   
 2. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 673
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Endelea kutujuza, na pia ukipata sababu za kwanini anapata ajali mara kwa mara utujuze pia.
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,577
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha Mambo mazito SSM? Akipona atafute dereva mwingine!!!! Kambi ya Bashe ikifadhiliwa na yule fisadi anayehemea urais si ndogo!!!
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,390
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Oooh, pole sana rais wangu mtarajiwa 2025.
   
 5. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,574
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si katangaza kugombea urais 2025
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Mungu ampe pumziko la milele
   
 7. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhh kwani amefariki? Mbona roho mbaya jamani?
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Kigwangalah aache wenge
   
 9. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,391
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ???????
   
 10. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Amekufa hajafa tujue kimoja.Tuna mambo mengi ya kufanya bashe upoo nakupa hi
   
 11. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,454
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Labda ametangaza kugombea urais akifikiri ni lahisi, magamba wanampima ubavu kama amekomaa!
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  RIP Kigwagala
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,175
  Likes Received: 4,512
  Trophy Points: 280
  Pole sana Kigwangala... Mungu atakujalia utapona.
   
 14. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,295
  Likes Received: 2,031
  Trophy Points: 280
  Niko pembeni hapa kufuatilia yanayojiri kuhusu huyo Dk.
   
 15. p

  pilau JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Jimbo la Igunga halina mbunge.... sasa na Nzega na Igunga sio mbali sana wamepakana.... Namuombea Mungu ampe ahueni apone haraka ...
  Get well soon
  Doctor!!!
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,971
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  walikuwepo kina Kolimba, Kambona, Tuntemeke, Sokoine walijaribu kufurukuta lakini wakakutana na waftini wakawamalizia mbali....
  Leo naona kuna kina Kigwangalah n.k pia watapita maana CCM ina wenyewe.
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  pole mbunge wa nzega...chezea bashe wewe..
   
 18. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,885
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Jamani hivi mmekuwaje?
   
 19. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,566
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Gamba vs Gamba!! Mi nipo jukwaa kuu nacheki game tu!
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,638
  Likes Received: 11,544
  Trophy Points: 280
  pole sana Kigwa i hope sio mkono wa mtu
   
Loading...