Mbunge Kigua(CCM): Ujio wa Gwajima katika kamati ulikuwa wa dharau na kejeli uliopitiliza

Siku hizi nimeacha kabisa kufuatilia Bunge kwa sababu hata Mbunge anayeniwakilisha huko si halali.

Hizi drama zinazoendelea nahisi wanajipanga kumfanyia impeachment mtu fulani....
Hawana sifa ya kuwa pale walipo. Kwani Kuna Bunge pale au genge la wahuni tu.
 
Nawaza tu..hivi Gwajima angekuwa anatoka mkoa wa Kigoma sijui angepewa uraia wa nchi gani?
 
Kwanzaa kabisa hawaaminiani anahisi wenzie wamemtega kumdhuru/kumwondoa!!!!
Kuwa na bunge ambalo linahisiwa kudhuru watu hata wenyewe Kwa wenyewe kiukweli inasikitisha Sana.
Bunge lilipaswa kuaminika sana maana hawa walipaswa kuwa watetezi wa watu lkn hili landugu ai limekuwa la ubabe,vitisho,hatari,kufukuzana,kutojali raia,kupigwa risasi watu bila uchunguzi, kigeugeu, laspwika kulala Sheria zikapita,lachuki,lavisasi,lachama kimoja kushinda kibabe, lakulazimishana kupitisha bajeti, lamigogoro na taasisi nyingine.... yako mengi lakini kiufupi linaloongozwa hovyo!! Shida wanaoongoza spwika na naibu wake hawafai!!
 
Back
Top Bottom