Mbunge kama huyu anaweza kweli kujisumbua kuleta maendeleo?

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,166
Kama hajali hata usalama wa mpiga kura wake!!!

12_11_hb8482.jpg

Mkazi wa Iramba akijaribu kulinasua gari la Mh Mwigullu Lameck Nchemba lililokuwa limekwama kwenye mto Ndurumo Kata ya Kidaru Mkoani Singida.
 
mbunge yupo ndani ya gari au wapi?
 
Na hapo lipo mtoni au ziwani? Maana nnavyopaona hapafai kuitwa barabara. Na ikiwa ni barabara yeye na chama chake waha haki ya kutueleza kwanini ipo hivyo
 
Na hapo lipo mtoni au ziwani? Maana nnavyopaona hapafai kuitwa barabara. Na ikiwa ni barabara yeye na chama chake waha haki ya kutueleza kwanini ipo hivyo
Lipo barabara ya jimboni kwake, kaleta maendeleo ya kufa mtu aisee..................

sijui kwa yeye kukaa ndani anajisikiaje

LOL
 
Huyo jamaa aliyeko chini ya shangingi la mbunge,anatakiwa achapwe viboko mia moja bila huruma,kukwama kwa mbunge ni kielelezo tosha kwake kuwa hana kazi yoyote anayofanya zaidi ya kula kodi zetu,walichotakiwa kufanya hao wananchi wangekuja na majembe na kuanza kuchimba shimo refu ili gari isitoke kabisa,NYAMBAFU ZAO vilaza kama hao ndio mtaji wa CCM siwapendi kabisa shenzi.
 
Sijaon connection ya mada yako na picha ikiyoweka!!!
Sasa ulitaka wasimsaidie?
duu, mibongo isiyoelewa concepts za safety precautions.. yani huoni kwamba jamaa hakutakiwa kujiingiza chini ya gari kujaribu kunasua gari lililoko kwenye utelezi? halafu akidedi huko chini utasikia ooh "Mungu alimpenda zaidi."
 
Kama hajali hata usalama wa mpiga kura wake!!!

12_11_hb8482.jpg

Mkazi wa Iramba akijaribu kulinasua gari la Mh Mwigullu Lameck Nchemba lililokuwa limekwama kwenye mto Ndurumo Kata ya Kidaru Mkoani Singida.
Je ingekuwa gari hilo ni lako na umo ndani ya gari ungefanyaje? Hebu ngoja kidogo...ahaaa, ungewaambia jamaa wote hapo wakanywe chai, kisha ungevua suti ubaki na bukta/chupi ulitoe gari peke yako eeenh?
 
huyo jamaa ndo hajijali...............anafanya hayo akitegemea kaposho kidogo,i'm sure hatoi msaada hapo,100:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom