Mbunge JUMA NKAMIA aonja joto ya jiwe

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
704
989
Aliyekuwa mtangazaji wa TBC radio bwana Juma Nkamia amefyata mkia baada ya kurushiwa kombora la skadi huko jijini mwanza na aliyekuwa Mkuu wa BBC Swahili Tido Mhando.

Bwana Juma Nkamia alikuwa akivisakama vyombo vya habari na waandishi wenzake akiwaita makanjanja, baadhi ya media alizozisakama sana ni pamoja na Jamii Forum, kwa kujiona yeye ni mwandishi maarufu na aliwahi kiajiriwa BBC Swahili.

Sasa tangu bwana Tido amtupie dongo kali kuwa hajawahi kuajiriwa kazi BBC bali alikuwa ameenda kwa mafunzo na alikuwa akipewa kusoma taarifa ya habari tu kama sehemu ya masomo mheshimiwa huyu hajawahi kujibu tuhuma hizo wala kurudia kuvisakama vyombo vya habari tena.

Jamaa kashushuliwa hadi moyo wangu umesuuzika maanake alikuwa anajitutumua sijui alikuwa anatafuta uwaziri wa habari na utangazaji.

Mheshimiwa umebugi men.​
 
Mheshimiwa umebugi men.
 
Tindo ni muongo wala haamiki yeye ndiye anapotosha wala hajui chochote kuhusu nkamia ila anamhofia tu kwa uwezo wake mzuri wa kutangaza wala siyo jingine.
 
kwa nini unamwamini tindo katika haya mambo unamfahamu vizuri lakini.
 
Huyu jamaa ni bogus sana!yaani ni!!!!!sijui nimfanishe na nani!mbungewaajabu sana
 
Mi nawaonea huruma wananchi wa jimbo lake kuwa na mbunge kituko na kilaza kama nkamia
 
Bdo kwenda jibu warangi aliowadanganya kuwa katoka BBC anataka leta redio urangini.Sasa hapo alipo hata rushwa kutoa hawezi tena.
 
Aliyekuwa mtangazaji wa TBC radio bwana Juma Nkamia amefyata mkia baada ya kurushiwa kombora la skadi huko jijini mwanza na aliyekuwa Mkuu wa BBC Swahili Tido Mhando.

Bwana Juma Nkamia alikuwa akivisakama vyombo vya habari na waandishi wenzake akiwaita makanjanja, baadhi ya media alizozisakama sana ni pamoja na Jamii Forum, kwa kujiona yeye ni mwandishi maarufu na aliwahi kiajiriwa BBC Swahili.

Sasa tangu bwana Tido amtupie dongo kali kuwa hajawahi kuajiriwa kazi BBC bali alikuwa ameenda kwa mafunzo na alikuwa akipewa kusoma taarifa ya habari tu kama sehemu ya masomo mheshimiwa huyu hajawahi kujibu tuhuma hizo wala kurudia kuvisakama vyombo vya habari tena.

Jamaa kashushuliwa hadi moyo wangu umesuuzika maanake alikuwa anajitutumua sijui alikuwa anatafuta uwaziri wa habari na utangazaji.

Mheshimiwa umebugi men.

Hivi amemaliza masomo yake hapo UDOM?
 
Last edited by a moderator:
Irrational lifestyle ya CCM inawasumbua sana ktk kufikia maamuzi sahihi.Ni ngumu sana hata CCM kujua wapi waanzie tatua matatizo yao.
 
Tindo ni muongo wala haamiki yeye ndiye anapotosha wala hajui chochote kuhusu nkamia ila anamhofia tu kwa uwezo wake mzuri wa kutangaza wala siyo jingine.

Lete facts kuhusu uongo a Tido ili ujadiliwe hapa
 
Tiddo aliamua kumvua nguo .Yaani huko CCM sijui watu kwa nini walilie ku deliver badala ya titles .Oh Mchumi first Class lakini uchuni wa Tanzania chini yeye anachumia mfukoni mwake .
 
Tindo ni muongo wala haamiki yeye ndiye anapotosha wala hajui chochote kuhusu nkamia ila anamhofia tu kwa uwezo wake mzuri wa kutangaza wala siyo jingine.

Unatokwa povu maskini gamba! huyo ngamia kilaza naye ahofiwe na nani? hujaliona pengo la TIDO hapo TBCCM? hujui kuwa tbccm kwa sasa imedoda na imekuwa kijiwe cha kuliwazana magamba?
 
Tindo ni muongo wala haamiki yeye ndiye anapotosha wala hajui chochote kuhusu nkamia ila anamhofia tu kwa uwezo wake mzuri wa kutangaza wala siyo jingine.

Aisee kweli atukanaye hachagui tusi...waweza mfananisha Tido na Nkamia kwenye tasnia ya habari kweli???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom