Mbunge Jerry Silaa agoma kusindikizwa na Polisi akielekea kuhojiwa na Kamati ya Maadili, adai kanuni

Dina

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
3,146
2,000
Mh Jerry kaja na lundo la mavitabu makubwa yaliyo sababisha mwenyekiti wa kamati na wajumbe wake kupigwa butwaa kwa sekunde kadhaa. Sitashangaa haya mahojiano yakichukua wiki kwa muonekano wa maandalizi ya utetezi wa shaidi. Ndio ukute mwenyekiti alihepa umande, hapo sasa!
😂😂 yaani yale mavitabu na kabrasha zimeniacha hoi...kisanduku?
 
Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
2,545
2,000
😂😂 yaani yale mavitabu na kabrasha zimeniacha hoi...kisanduku?

Huyu Mh na wabunge wengine nafikiri isitoshe kubeba vitabu kutengeneza sinema aliyo sema inatakiwa akimjibu shemeji yake kwenye korido za bunge. Waende mbele kumuonesha Spika thamani ya kura zao za kumuweka Spika kwenye kiti hicho. Wabadilishe hizo kura na heshima wanayoitegemea na kuistahili kutoka kwa Spika.
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
2,336
2,000
Lakini wakati mwengine Katiba yetu inafikirisha. Tunaambiwa mbunge akiwa kwenye bunge au viwanja vya bunge askari hawatakiwi kumkamata. Tumeona askari wakiwasindikiza wabunge kama wanasindikiza wahalifu wastraabu.
Maagizo ya Ndugai kuonyesha nguvu yake.
Huyu sipika atamalizana vibaya Sana.
 
Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,186
2,000
Huyu Mh na wabunge wengine nafikiri isitoshe kubeba vitabu kutengeneza sinema aliyo sema inatakiwa akimjibu shemeji yake kwenye korido za bunge. Waende mbele kumuonesha Spika thamani ya kura zao za kumuweka Spika kwenye kiti hicho. Wabadilishe hizo kura na heshima wanayoitegemea na kuistahili kutoka kwa Spika.
Duh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom