Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,315
- 7,113
Wabeja sana
Wabeja Kulumba!
Tunamsubiri mpiganaji wetu Mh. Kasulumbayi huku kwetu!
Wabeja sana
kuna bifu la chini kwa chini kati ya Msigwa na Chiku na bango hili lina kazi "maalum" na nimemuona Msigwa katupia dongo lake kwa mbaaali. Hebu nijishindilie kande zangu miye!! kwa wale msiojua Chiku keshaanza kutengeneza mtandao wake wa mwaka 2015 ubunge Iringa Mjini ua Isimani hali ambayo imeleta tafrani kati yake na Msigwa. Ndiyo maana humu ndani kuna maneno kama "Isimani" au "Iringa Mjini' yamejitokeza tokeza.
Katibu wa chadema wilaya ya Iringa vijijini Felix Nyondo akimkaribisha mbunge Chiku Abwao leo
CHADEMA cha demokrasia na maendeleo (chadema) wilaya ya Iringa vijijini kimeanza kukibomoa chama cha mapinduzi (CCM ) baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi kata ya Luhota na mjumbe wa kamati ya utekelezaji CCM wilaya ya Iringa vijijini Sihuna Kapalampya kuhamia Chadema na kuwa mwenyekiti mpya wa Chadema kata ya Luhota .
tunaomba ofisa za CDM hapa ngara mjini mkoa wa kagera,kuna mashabiki wengi sana wanaosubiria kua wanachama kamili..ama nipeni mie mwongozo nifanye ntakacho kiweza.
Kazi nzuri sana
Tunategemea Na Regia atafanya hivyo huko Kilombero na wengine wote waige
Go cdm go! Lakin imekuwa mapema sana kumpa uenyekiti! All da best.
Katibu wa chadema wilaya ya Iringa vijijini Felix Nyondo akimkaribisha mbunge Chiku Abwao leo
CHADEMA cha demokrasia na maendeleo (chadema) wilaya ya Iringa vijijini kimeanza kukibomoa chama cha mapinduzi (CCM ) baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi kata ya Luhota na mjumbe wa kamati ya utekelezaji CCM wilaya ya Iringa vijijini Sihuna Kapalampya kuhamia Chadema na kuwa mwenyekiti mpya wa Chadema kata ya Luhota .
Duh, huyu mbunge ameji-cream kweli. sio weupe wa asili yake.
Huku ni kuishiwa hoja. Yaani kiongozi wa kata ndiyo anaripotiwa hapa na kudai kwamba hiyo ni catch kwa chama. Hebu tuondoleeni vihoja uchwara hapa.