Mbunge huyu apelekwe milembe mara moja, iko siku atakuja amevaa chupi kichwani

Status
Not open for further replies.

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:
"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!
 
wengine waliomba milion 70 wakapewa mil 800 wakazitumbua...
 
Mkuu hawa hawajitambui!

Binafsi nilimsikia huyo mbunge akichangia.

Hata hivyo,hiyo heading yako nahisi mods watai-edit.
 
Huyo mbunge falaa sana, lazima atakuwa Kessy huyo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:
"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!

lakini ya kweli haya ?
 
Well Said huyo lazima ni wa division 5......teh teh teh...na serikali yake sikivu.....
 
NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:
"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!

what a movie,hii ni movie nzuri,hata hollywood hawawezi kuibuni!
 
lakini ya kweli haya ?

Mkuu hivi vituko mbona kwa mibunge ya ccm kawaida sana?
Hata kesho ukipata muda sikiliza ucheke!!!

Kile kinachoitwa party caucas ndiyo inayowalazimisha wabunge kutoa sifa za kijinga kwa serikali ya chama chao cha misukule, halafu wanalazimishwa pia kutoa shutuma za hovyo kwa watetezi wa wanyonge chadema

Back
Top Bottom