Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 17
Kabla wapambe hamjaanza kumsakama SD kwa hii thread, naomba tu mfunge macho yenu, mkuze fikra zenu, mchore picha mawinguni, muuhisi mdhanio wa upepo mwanana wa bahari ukivuma tokea pwani ya Tanga, mnuse harufu nzuri ya mdalasini na grrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaph....
.......ghafla.......Sauti ya mchawi maarufu east afrika, ambaye pia ni mbunge wa chama cha mafisadi wa ccm - Prof Maji marefu inatokea...
... anajaribu kuchangia mjadala wa kupunguza (au kuongeza) mrahaba wa mapato ya madini toka asilimia 1.5 hadi asilimia 1.51111123543 kwa mwaka.
graaaaaaaaaaaaaaaaaaarphrfraaaaaaarrrrrr....
SD, nitakuwa kama namsukuma mlevi vile.
Yaani sina haja sana ya kusubiria kusikiliza hotuba za Lissu na wenzake (zitakuwa zina shule ya kutosha). Ningependa sana kusikia mchango wa prof maji marefu na vilaza wenzake kama yule mbunge wa Rorya - Aiko (whatever the fkjdc his name is) mwenye ilimu ya darasa la nne.
Wewe ungependa kumsikia nani akichangia?