Mbunge Frank Mwakajoka afunika Tunduma , Pamoja na ukandamizaji wa Demokrasia unaoendelea CCM wapigwa butwaa

wabunge wetu tumewapa template ya speech ya kusifu & kuabudu ambayo imejaa maneno yale yale yanayojirudiarudia.... (SGR, Stieglier's Gorge, ATCL, nk).
tumegundua mahudhurio yakipungua kila iitwapo leo na hata wale wachache wanaohudhuria tunaona wanasinzia katikati ya hotuba.

naona ni kama wananchi wamewachoka wabunge wetu labda tubadili mbinu!
Kumbe mikutano imeruhusiwa ? Kesho msijesema tumezuiwa
 
Mapenzi yetu kwa Chadema yamo mioyoni mwetu hata hawa wahuni na wauaji waminye vipi hawawezi kuingia mioyoni mwetu na kufuta mapenzi makubwa sana tuliyonayo kwa Chadema.

View attachment 1184583View attachment 1184585View attachment 1184586

Unahitaji kuwa na akili ya mwendawazimu kufikiria kama unaweza kuuwa Upinzani kwa hali iliyopo.

Natoa onyo kwa wote wanaopoteza muda kuhangaika kuuwa Chadema kwa uchawi au kwa njia zozote zingine , waache na watafute kazi ya kufanya.

Mkutano huu umepigwa Tunduma jumamosi tarehe 17 August 2019 , Usipime !
 
Hapa ndipo hilo neno ukandamizaji wademokrasia linapo kosa nguvu maana hii inathibitisha kuwa hilo neno mnalitumia vibaya....
 
View attachment 1184583View attachment 1184585View attachment 1184586

Unahitaji kuwa na akili ya mwendawazimu kufikiria kama unaweza kuuwa Upinzani kwa hali iliyopo.

Natoa onyo kwa wote wanaopoteza muda kuhangaika kuuwa Chadema kwa uchawi au kwa njia zozote zingine , waache na watafute kazi ya kufanya.

Mkutano huu umepigwa Tunduma jumamosi tarehe 17 August 2019 , Usipime !
2015 hiyo dogo. Wadanganye mandina wenzio. Mama huyo mbele kabisa kwa sasa ni marehemu, alifariki mwaka 2017
 
Hivi wabunge wa ccm mbona wanaogopa kuitisha mikutano ya hadhara kwenye majimbo !
Hilo nalo neno! Wao mpaka wawaite wakina Diamond au Mpoki ndio wanapata wasikilizaji. Jee kwa wenye akili hiyo maana yake nini?
CCM kwisha kabisa, ushindi wao ni wa wizi tuu. Ukidhibitiwa basi chali
 
Back
Top Bottom