Mbunge Frank Mwakajoka afunika Tunduma , Pamoja na ukandamizaji wa Demokrasia unaoendelea CCM wapigwa butwaa

Hali ni ngumu watu wanahangaika kupika takwimu. Upinzani ungekuwa dhaifu kihivyo wasingehitaji kupika takwimu wala kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani.
 
wabunge wetu tumewapa template ya speech ya kusifu & kuabudu ambayo imejaa maneno yale yale yanayojirudiarudia.... (SGR, Stieglier's Gorge, ATCL, nk).
tumegundua mahudhurio yakipungua kila iitwapo leo na hata wale wachache wanaohudhuria tunaona wanasinzia katikati ya hotuba.

naona ni kama wananchi wamewachoka wabunge wetu labda tubadili mbinu!
Kama hujajua hivyo vitu vimegharimu maisha kiasi gani yawatanzania basi we nunda.ukiondoa uchaguzi wa Zanzibar hivyo ndivyo vitu ambavyo vimegharimu sana maisha yawabongo ,miaka hii 4,yauongozi
 
Back
Top Bottom