Mbunge Frank Mwakajoka afunika Tunduma , Pamoja na ukandamizaji wa Demokrasia unaoendelea CCM wapigwa butwaa

View attachment 1184583View attachment 1184585View attachment 1184586

Unahitaji kuwa na akili ya mwendawazimu kufikiria kama unaweza kuuwa Upinzani kwa hali iliyopo.

Natoa onyo kwa wote wanaopoteza muda kuhangaika kuuwa Chadema kwa uchawi au kwa njia zozote zingine , waache na watafute kazi ya kufanya.

Mkutano huu umepigwa Tunduma jumamosi tarehe 17 August 2019 , Usipime !
Makamanda picha zenu za siku hizi mnapiga kiwoga woga sana mnasaka angle ya kujazia watu kwenye picha teh
 
Huwezi zuia Demokrasia karne hii kwa namna yeyote ile hata kama utumie mtutu wa Bunduki bwana Jiwe. Wewe ua teka na poteza watu lakin ujue utajibu hayo matendo yako mbele ya vyombo vya haki. Huwezi zuia people's power.
 
Taratibu aisee,Mtasababisha mzee Meko aanze kugawa pesa ovyo mabarabarani huko
Jaamaa kachanganyikiwa kweli anagawa gawa hela hovyo tuu huko mahospital kwa kuwatengeneza watu wahitaji fake mpaka anatia huruma yaani.
 
CHADEMA imekufa.
Alisikika kipara mmoja toka chato.
Kwa mwaka huu tu 2019 tu tumeandikisha wanachama wapya na kugawa kadi milioni tatu na ushee.
Tunakufa kifo cha Yesu.
 
Back
Top Bottom