Mbunge Ezekiel Maige: Nafasi serikalini zilijaa ukabila. CRDB na TRA walijazana wachaga

Status
Not open for further replies.
Watanzania hata sijui tumerogwa na nani alichosema kina ukweli 100% lakini tutapindisha ilimradi ukweli upindishwe hata sijui kwa faida ya nani na hii tabia ya upande uliendelea kukebehi upande usio na maendeleo ndio yanaleta haya madhara ya kanda ziwa kukomoa kanda ya kaskazini.Magu anachojua Kimei alichokifanya thus why kaikalia CRDB kooni huwezi kuwa na wafanyakazi karibia 90% wanatoka sehemu moja....TRA ndio usiseme Magu kawasambaratisha watu wa kaskazini hawana hata hamu nae kabisaa cha msingi Tanzania ni yetu sote mambo ya ukanda hayana faida yanapaswa kukemewa na kupingwa.
Mnafiki mkubwa wewe.....
Unatetea ukabila huku ukionesha chuki yako ya wazi kwa Wachagga halafu unahitimisha uharo wako kwa kupinga ukanda..

Jinga kabisa
 
Kwamba JPM anapambana na "wachaga" waliokuwa "wanatafuna" nchi hii kwa muda mrefu kuanzia huko CRDB mpaka TRA?

Kumbe ni "vita" ya kukomoana kati ya "upande" wa ziwa na ule wa kaskazini??Hii ni hatari sana
Sidhani kama ni intention ya Maige hiyo. Anapambana kuhakikisha ya ukabila hamyarudii tena na ndiyo maana ukipata hata ukurugenzi au ukatibu mkuu siku hizi kuna kiapo maalum kwamba hutamuajiri mtu kwa kuwa ni kabila lako au dini yako au ndugu yako au mnatoka kanda moja. Hii ni kuweka usawa na pia kupata watu sio kwa ukabila wao. Mlizidi sana na mkawa hamna hata aibu. TRA kwa mfano, ina maana ni nyie tu ndiyo mlosoma mambo ya taxation? Maana mnazidi asilimia sabini ya waajiriwa wote wa TRA. Acha watu wasemw tuliwachoka na ubinafsi wenu.
 
Hahaa hata manazi walitaka Jews wasubiri lakini hadi leo hawajawapata. Mtasubiri sana kuwapata hao mnaodhani mtawafikia. Huo ndiyo ukweli ila vumilia tu
Mbona mnalalamika tulieni wengine wasaidiwe na serikali kama nyinyi mlivyosaidiwa na serikali hiyo hiyo huko nyuma!
 
Wachaga wakibagua sawa ila wakifanya wengine mnalalama!!! Wachaga wasubiri nao ili makabila yaliyo nyuma yasonge!!
Kama kuna watu wa eneo fulani walichelewa kwenda shule na wachagga walisoma kwa wakati huo itabidii wajilaumu wenyewe. Kumbuka wakati wa utawala wa awamu ya kwanza Mwalimu alitoa elimu bure kwa Watanzania wote leo hii kuwalaumu wachagga ni umasikini wa akili.
 
Mnafiki mkubwa wewe.....
Unatetea ukabila huku ukionesha chuki yako ya wazi kwa Wachagga halafu unahitimisha uharo wako kwa kupinga ukanda..

Jinga kabisa
Wewe ndo jinga zaidi hutaki wengine waendelee?? Hopeless!
 
Labda watuambie ni lini Wachaga waliwahi kuongoza hii nchi? Was Nyerere, or Mwinyi, or Mkapa, or Kikwete the Chagga? Je hawakuona huo Uchaga kwenye hizo sekta? Hivi Wachaga Wana rasilimali gani ukiondoa Kilimanjaro na uzilinganishe na Nyamongo, Mwaduwi, Geita, Buzwagi(to mention the few)+ Ziwa Victoria ambavyo vyote hivi vipo Lake Zone? Hivi matatizo yatokanayo na Ujinga wenu ni lazima muwasingizie watu ili ku justify vilio vyenu? Maige nimekudharau, akili yako ndogo sana, wewe ni punguani!
Mzee Warioba juzi kaongea hapa kwenye kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere. Watu walilalamika mwalimu anapendelea wachaga. Walikuwa mawaziri 6 katika 26 kutoka kilimanjaro. Hapo ndiyo walipoanza au mlipoanza kujazana na kuwaona wenzenu wajinga. Na ndicho kinawahangaisha mpaka sasa kupata uongizi wa nchi. Mama Lowasa mwenyewe wakati wa kamoeni za uchaguzi 2015 alisikika akisema wazi akiwa kilimanjaro kuwa wachaga popote mlipo mchague mume wake kwa kuwa mko wengi kila pahali. Hahahahaaaa. Clip ipo. Mnabisha nini? Wabinafsi namba moja.
 
Kama kuna watu wa eneo fulani walichelewa kwenda shule na wachagga walisoma kwa wakati huo itabidii wajilaumu wenyewe. Kumbuka wakati wa utawala wa awamu ya kwanza Mwalimu alitoa elimu bure kwa Watanzania wote leo hii kuwalaumu wachagga ni umasikini wa akili.

Wanaolalamika ni wachaga baada ya kuona serikali inawapa kipaumbele walio nyuma. Pia wachaga waliokuwa serikali walipendelea kwao ndo ukweli. Miundombinu mingi ilitengenezwa na serikali na wala si wachaga wenyewe!!
 
Crdb na tra?...kuna mwenye maamuzi ya bajet?...bunge loote ni ccm anzia uhuru...upinzani wa ukweli anzia mwalim uko k'jaro,jimbo la vunjo ccm imeshika awam moja tu..ya nakara kimaro...vyote ni upinzani..hai je?...ccm haina rafiki kjaro mbona mmepeleka maendeleo kjaro basi?...jiulizen ndio mje na hoja zenu nyepesi..pigen kaz,wakenya hapo naii wanawaogopa wachagree kwa jala..hata sio ajabu..ni hulka tu kupambana beyond limits,sehem bora kabisa kenya ni central kenya kwa wakikuyu but kwa vijij vya machame,marangu,kibosho na rombo,kenya inakalishwa na wanakiri,na wanawaheshimu wachaga huko naii...sasa waswahili wancheza bao wanaanya anya...
 
Hata kama ni private but inaonyesha mfano kwa hawa watu walivyo wabinafsi

Kuwaajiri watoto wa wenye mali sio ubinafsi bali ni kulinda mali yao isifisadiwe!! Nyie wakina NGOSHA msingekuwa mafisadi Victoria Federation ingewaletea maendeleo lakini mkaamua kuiba na wezi wenyewe mnawajua lakini mnawaogopa kuwakamata; udhaifu wenu mtaishia kuwalaumu wachaga!!
 
Hapa ndio siasa ilipo sasa, Maige kaamua kuonesha vile mkulu anawaza moyoni na kutenda,
Tumbua tumbua ina mengi ndani yake, time will tell
 
Mtu akiongelea ukweli ni dhambi, si uliona hata kura zilizopatikana Arusha na Kilimanjaro? Uliona malalamiko dhidi ya vifungo vya akina Mramva na Yona? Si mliona njama na kampeni za Kaskazini dhidi ya mawaziri wote wa kanda ya Ziwa, akina Muhongo,Tibaijuka, Masilingo, Kaijage, Werema, Diallo, Chenge eti wote mafisadi. Lakini Lowasa kwa vile tu wa Kaskazi ni mtakatifu. Njama hizi hazina nafasi kwenye awamu ya Tano, sasa hivi wamekazana kumuandama Rc Makonda kwa kumtumia Gwajima mchungaji feki, kwa vile tu kawaumbua akina Mbowe wachagga juu ya ushiriki wao ktk biashara ya mihadarati. Wachagga ndiyo wale wale walioanzisha njama ya kuligawa Taifa chini ya Chief Maliale pale alipidai Uhuru wa Kilimanjaro, kauli ambayo chini ya Chadema iliendelezwa mbunge Joshua Nassari kwa kutamka hadharani kwenye mkutano wa hadhara kuwa bora Kilimanjaro iwe nchi ili mlima Kilimanjaro uunufaishe mkoa huo. Hivyo siyo Siri kuwa Wachagga pamoja na jirani zao wanao mpango wa kuligawa Taifa hili na bila JPM kuchukua hatua stahiki hawa waliojichimbia ktk taasisi mvali mbali wangeimalize nchi hii. Hebu angalia mifano mingine michache, Musuya aliweka Umeme hadi milimani na mihombani wakati yeye alikuwa Waziri wa nchi nzima, un equal distribution of the national cake, Mtei hadi leo amehodhi barabara za huko kwao mabasi ni ya watu wa huko tu, mtu kutoka usukumani au hata kwingineko akipeleka basi lake lile kundi la vijana wa mtei liko tayari kutega misumari kwenye basi hilo, Mrema aliwahi kwenda nje ya nchi na kutafuta soko la Kahawa ya Kilimanjaro tu ili hali akijua kahawa inalimwa pia mikoa mingine, Dsm ccm ilishindwa kutokana na biashara nyingi kama vile baa, hotel, majunba ya starehe, kumbi, zinamilikiwa na Wachagga, hivyo kipindi cha kampeni ilifanyika kampeni kubwa kuhakikisha ccm haipiti ilihali wak8jua kuwa chadema haitawasaidia chochote kama tunavyoona hadi sasa, hakuna diwano yeyote wa chadema anayeweza kusema amewafanyia nini wana Dares salama. Kama nasema uongo toeni mfano kuwa tangu chadema imeteka jiji la Dar nini kimefanyika bila kuihisisha illani ya CCM. JAMANI WACHAGGA NI HATARI NA NOMA.
nonsense, idiot!
 
Acha uongo miradi mingi sana ilielekezwa kaskazini hasa kilimanjaro. Subirini na nyinyi na wengine waendelee
Watu mnasubiri serikali iwachimbie vyoo vyoo hamtaendelea milele. Jiongezeni. Serikali haiwezi kufanya kila kitu.
 
Mkifika hapo hamtaiacha nchi salama.Mawazo yalistahili kuishi Marne ya 18 lkn Leo ni ajabu kuhoji kwa kigezo cha ukabila lkn yeyote anayejitambua hufanya maamuzi sahihi!
 
Huo wivu wa kike, hapa tatuzo sio uchaga tatizo wana shule inayoeleweka, waliwahi kusoma, wanajitambua, huku pwani watu wanakaa chini ya mnazi kungoja nzi idondoke ndio wapate pesa, mtoto wa kike akifaulu anachezwa na kuozwa then mtegemee dvl? sahauni na mtalia mpaka mwisho, badala ya chuki mngejifunza kwao. Libunge jitu la hovyo kabisa ndio maana linavimbiana tu mishavu na tumbo nyambafff
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom