Mbunge Esther Matiko apokea medali kwenye michezo ya Mabunge E. Africa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Mhe. Mbunge Esther N. Matiko (Tarime Mjini) akipokea Silver Medals kwa Mbio Mita 100, 200, 400, 800 na relay 400, ushindi wa pili Netball, Tug of War na ushindi wa Tatu Volleyball na mbio Relay Mita 100 baada ya kushinda kwenye Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yaliyofanyika Mombasa nchini Kenya.
IMG-20161212-WA0025.jpg
IMG-20161212-WA0027.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom