Mbunge Elibariki Kingu, unafki ni mbaya sana.

Puma yetu

Senior Member
Sep 23, 2016
111
125
Nimekua nikifuatilia siasa za mbunge huyu na wengine wenye tabia kama zake, nimekwishagundua kua kuna wabunge wa aina hii ni hatari kwa maendeleo ya wananchi wanaowawakilisha. Wabunge hawa hujaribu kujikakamua kufanya waonekane lakini hakuna kitu, ni waoga wa kutisha.

Elibariki Kingu alikua mbunge wa kwanza wa CCM kuandika kwa hisia kwenye mitandao ya kijamii akilaani kitendo cha Bashite na timu yake kuvamia vitio vya habari vy Clouds, alionekana akilalama sana tena kwa kujiapia kua yuko tayari hata kufukuzwa uanachama wa CCM. Lakini baada ya hapo tulimuona Nape ndiye aliyeguswa na jambo hilo na kujiapiza kua tuko tayari hata kuachia nafasi yake ya u waziri na imekua hivyo.

Badala yake mpaka hivi sasa wabunge pekee ambao wanaguswa na vitendo hivyo ni Bashe,Nape, Ridhiwani na wengineo.Hakuna cha Kingu wala kingi,jamaa yangu yupo kimya anapiga meza tu hana shida. Huu ni unafki mbaya sana tena sana.
 
Njaa ni kitu mbaya sana ndugu yangu....
 
Mkuu ili asiwe mnafiki afanyaje kwa hilo? Kama alichoka kupiga mayowe na la kwanza aanze la pili la nini ssa ....nawaza tuu lakin...
 
Asijinadi kama MTU mpenda haki,unafiki ni mbaya sana hata dini yake inamkataza
 
Nimekua nikifuatilia siasa za mbunge huyu na wengine wenye tabia kama zake, nimekwishagundua kua kuna wabunge wa aina hii ni hatari kwa maendeleo ya wananchi wanaowawakilisha. Wabunge hawa hujaribu kujikakamua kufanya waonekane lakini hakuna kitu, ni waoga wa kutisha.

Elibariki Kingu alikua mbunge wa kwanza wa CCM kuandika kwa hisia kwenye mitandao ya kijamii akilaani kitendo cha Bashite na timu yake kuvamia vitio vya habari vy Clouds, alionekana akilalama sana tena kwa kujiapia kua yuko tayari hata kufukuzwa uanachama wa CCM. Lakini baada ya hapo tulimuona Nape ndiye aliyeguswa na jambo hilo na kujiapiza kua tuko tayari hata kuachia nafasi yake ya u waziri na imekua hivyo.

Badala yake mpaka hivi sasa wabunge pekee ambao wanaguswa na vitendo hivyo ni Bashe,Nape, Ridhiwani na wengineo.Hakuna cha Kingu wala kingi,jamaa yangu yupo kimya anapiga meza tu hana shida. Huu ni unafki mbaya sana tena sana.
Unataka kila mtu aongelee kitu hicho hicho...walioongea si wameshawskilisha huo ujumbe bdo hujaridhka tu? Basi na wewe nenda bungeni ukaongee marudio hayo hayo
 
Back
Top Bottom