😂😂😂😸😹Kichwa kigumu hiki,yaani hajaelewa kuhusu kudemka kulikosemwa na mama Rais
akumbuke kabaki peke yake,atunze legacy yake aache ujana,pia aieleze familia yake itulie iachane na ufisadi na tuhuma za ajabu,la sivyo atakuja kuzeeka vibaya,angalau siku hizi Ridhiwani na mama wametulia na saga za ajabu naye atulie,kuonekana kwake kuwe ktk matukio maalumWanademka tu!
Ingawa hilo la JK kutuhumiwa na kutajwa kwenye "kuondoka" kwa mwendazake pia ni tatizo. Needs to be addressed ASAP.