Mbunge CCM atoa nguo ya ndani mkutanoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge CCM atoa nguo ya ndani mkutanoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shadow, Dec 21, 2008.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hivi tunakwenda wapi sasa? What a dumbest way of protest!

  12/20/2008 4:11:56 AM
  Source: Nifahamishe
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Dec 21, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Tabia mbaya sana hii. Mbunge huyu lazima alikuwa ni mwanamke; kitendo cha kukimbilia kutoa chupi yake kinaonyesha jinsi alivyo mwepesi kutoa chupi zake na huenda aliukwaa ubunge kwa kutoa chupi yake vivyo hivyo.
   
 3. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yote hiyo ni hasira ya kuona ama kuhisi anataka kuzuiliwa kwa analopanga kulipatan kupitia uongozi. Mtavua Pupi mpaka mlizovaa kuonesha hasira. Na hiyo ni ndani ya chama, subirini hasira zetu wananchi.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,590
  Likes Received: 18,575
  Trophy Points: 280
  Hii ya kutoa chupi mbele ya kadamnasi ya watu imenikumbusha enzi za mtunzi marehemu John Rutayasingwa kwenye moja ya Riwaya zake, zile simulizi za mheshimiwa Bayeke aliyependa sana 'Blanketi chapa mtu', kwenye moja ya mikutano ya hadhara
  Alitoa chupi ya kike na kuikung'uta kung'uta huku akifikiria ni anjifu.Umati wa mkutano walimcheka kwa mshangao.

  Tofauti ya Mhe. Bayeke na hiki kituko cha CCM ni kuwa Bayeke alitoa chupi kwa bahati mbaya bila kukusudia wakati Mhe wa CCM alidhamiria.
   
 5. G

  Giroy Member

  #5
  Dec 21, 2008
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nionavyo mimi mama huyo alikusudia kutoa hiyo chupi kwenye huo mkutano,mara nyingi wanawake hutembea na kanga kwenye mkoba.mama huyo siyo mstaarabu kabisa . Hekima ya mtu hupimwa kwa jinsi anavyofanya maamuzi.hivyo sidhani kama huyo 'viti maalumu' ni mama mwenye maadili.Hivi ninyi mnaowachagua mnaangalia vigezo gani?Angekuwa ameitoa Dodoma ingekuwa aibu kubwa.Ushauri wangu apigwe chini kila mahali,kwani amedhalilisha waheshimiwa wetu
   
 6. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Madaraka ni matamu mno huko ccm, kila mmoja anakazana kuwa kiongozi wakidhani kuna pesa zingine za kificho ziko ple bot ili 2010 wakagawane
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jamani, twapelekwa wapi?
   
 8. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kama viongozi ni hao halafu tunashangaa kwanini mkoa hauendelei?
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Labda lengo lake lilikuwa kumwaga radhi........................
  Na bado sio chupi tuu,tutaona vingi next year na mwaka wa uchaguzi
   
 10. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Lahaula Lakwata!
   
 11. M

  Mama JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Huyo mbunge aliyefanya kitendo hicho hana jina?

  Kati ya wabunge wa viti maalum Mbeya kuna Hilda Ngoye na Florence Kyendesya.
   
 12. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Huyu mwanamke laana tuullah kabisa .Yaani chupi ? Huyu ameolewa ama ?
   
 13. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kila mtu hapa ame assume huyu mama alitoa chupi. Huenda alitoa Sindiria. Kumvisha mwanaume chupi inaweza kuwa kazi kubwa.

  Yote yote bado ni utovu wa nidhamu na maadili wa hali ya juu. TZ kungekuwa na kuwajibika, hata huo ubunge angepoteza.

  Hivi Mbeya ina wabunge wangapi wanawake? Inabidi tupate jina lake huyu mama.
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  :eek:

  ...huenda pia ikawa ni shumizi :D

  kamdhalilisha sana mskini :(, kwetu pwani 'amemaanisha' huyo baba ana mambo ya ki 'shoga-shoga!'
   
 15. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa taarifa alitoa sidiria, ila vyote sawa tu chupi sidiria, shimizi. Hawa ndio wanajiita empowered women! gggggggggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrhhhhhhh!
   
 16. M

  Mama JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Hawa kina nani? Ina maana walikuwepo wabunge wa viti maalum wengi waliofanya hicho kitendo?
   
 17. C

  Chuma JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Augustino moshi atakuja kumtetea!!!!
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi yeyote na sababu yeyote ile, mhusika hana sababu kujishushia heshima kiasi hiki.Inaonyesha pia jinsi tulivyo na viongozi mufilisi wa akili.Hoja hupingwa na hoja na siyo kutoleana nguo za ndani ili uwe ume make a point.Mwanamke huyu hawakilishi wanawake wenzie bali anajiwakilisha mwenyewe kwa mbinu zake chafu.Kama walivyosema wengine hapo juu, huyu hastahili heshima maana hana heshima na hastahili kumwongoza mtu yeyote maadam kashindwa kujiongoza mwenyewe!
   
 19. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Je kuna haja ya kuvivuta hivi viti maalumu manake criteria ya kuchaguliwa kwake huwa ni ya ajabu ajabu
   
 20. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  WS, ni vigezo vipi utumika kuwapata hawa wawakilishi wa viti maalumu? kwa nini isiwe wananchi kuwapigia wakina mama kuingia kwenye buge kama tunavyowapigia wabunge wa kawaida? Wananchi wanawajua vizuri kuliko kuwekewa mtu aliyechaguliwa na kundi dogo kwenye closed door. Mtakuja kutuletea hata mapsycho huko bungeni!
   
Loading...