Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,034
- 2,656
Who provokes? Kumbuka " when a provocative statement is provided an equivalent statement is provided "Fikiri japo kidogo. Unafikiri ukitukana ndiko kutaondoa ukweli uliopo? Kuna mgongano wa maslahi kama familia moja mtaingia kufanya kazi pamoja na hasa katika kazi hizi za kuteuana. Ndiyo maana ilipendekezwa madaraka ya rais yapunguzwe, mpaka leo hawataki tumalizie mchakato ule wa katiba mpya ulioligharimu taifa mabilioni. Tusiwe wajinga kiasi hiki cha kutetea hata vitu vinavyoliharibu taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuachane na hayo twende kwenye hoja!!
Kwamba Mtu akiwa Rais hawezi kumteua ndugu yake kwenye serikali hata kama ana sifa???? Hivi tunajua haki za raia wa Tanzania ama tunaongea tu kwasababu hatupendi kusikia baadhi ya vitu toka kwa mtu fulani kwa sababu zetu za kisiasa na chuki binafisi???? Yaani mtu unasema kwa akili zako timamu kuteuliwa kwa ndugu wa Rais ni kosa???? Hata kujiuliza ni ndugu wangapi aliowateua hadi sasa???? Hukuwahi hata kujiuliza kwann Clinton aliteuliwa kugombea urais Usa???? Hapo kwa akili zako hukuumiza kichwa?????
Tatizo li wapi hata mtoto wa Rais akiteuliwa serikalini kama anasifa????
Ok mnasema katiba imewekwa pending goja niulize hivi katiba hiyo nani initiator wake!?? CCM( kikwete ,, Chadema au watanzania??? ) if it's so now who is to be blamed so far??? Or given heartedful congrats???
Yote haya ni kujengeka kwa chuki lakn kwa mtu unayetumia kichwa vizuri huwezi ku doubt hata kidg na mara nyingi tuwe tunafikiri kama ingekuwa kwako ungefanyaje???
Sent using Jamii Forums mobile app