Mbunge Babu Tale ana matatizo ya Kisaikolojia; aomba wataalamu wajitokeze kumsaidia

Mbunge wa Morogoro na meneja wa Diamond mheshimiwa Babu Tale amesema tangu afiwe na mkewe takribani mwaka mmoja uliopita amekuwa na msongo wa mawazo unaosababishwa na kumbukumbu za kifo hicho pamoja na jukumu la kulea watoto aliloachiwa na mkewe.

Aidha Babu Tale amewaomba wataalamu wa saikolojia nchini kujitokeza na kumsaidia kiushauri ili aweze kurejea katika hali ya kawaida.

CHANZO: UTV Habari.
Na matatizo ya kisaikolojia bado Yuko Bungeni??? Anaowawakilisha na wenyewe wana matatizo ya kisaikolojia.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Ukitazama sura yake na anachokisema ni tofauti

Naanza kuamini ya waja
 
Kama kweli alizima na kupora uhai wa mwenzake Ubunge wa hovyo ambao hana furaha nao.
 
Ni jambo la kheri kuomba msaadana asidhihakiwe.
Depression inaua watu wengi kimyakimya(hususani wanaume)..
Kuna mahojiano nilimuona akisema mke wake alimkataza kuoa tena.Pengine yuko kwenye dilemma katika hilo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Muongo huyo, pengine ni masharti amepewa na kwingineko
 
Ni jambo la kheri kuomba msaadana asidhihakiwe.
Depression inaua watu wengi kimyakimya(hususani wanaume)..
Kuna mahojiano nilimuona akisema mke wake alimkataza kuoa tena.Pengine yuko kwenye dilemma katika hilo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app

Inatuua kweli kwa sababu we don’t speak our emotions,unaona kama utaonekana fala fulani.Kumbe ndo unajila taratibu!..wengine wanatopea kwenye Ulevi na Ngono kupita kiasi.
 
Mbunge wa Morogoro na meneja wa Diamond mheshimiwa Babu Tale amesema tangu afiwe na mkewe takribani mwaka mmoja uliopita amekuwa na msongo wa mawazo unaosababishwa na kumbukumbu za kifo hicho pamoja na jukumu la kulea watoto aliloachiwa na mkewe.

Aidha Babu Tale amewaomba wataalamu wa saikolojia nchini kujitokeza na kumsaidia kiushauri ili aweze kurejea katika hali ya kawaida.

CHANZO: UTV Habari.

Alijitambulisha kama chawa. Kumhusu bwana yule msongo hakuna?!
 
Tunaposema wanaume tuwe na wake angalau wawili, au hata mchepuko muwe mnaelewa.......sisi tupo very vulnerable na stress pindi inapotokea majanga kama haya ya kufiwa na mwenza. Wazee wetu waliweza ku-survive kwa sababu ya hili.......wazungu walipotuletea mila yao ya mke mmoja na sisi kwa kutotumia akili tukaingia mazima, unakuta mtu kakomaa na mke au mpenzi mmoja kama njiwa. Matokeo yake hata wanawake wameona ni haki yao kuwa peke yao hadi wamefikia hatua ya kutuchoma moto kwa petroli......
 
Back
Top Bottom