Mbunge atakaekubali fedha zake za ruzuku kusaidia kupambana na korona jimboni kwake sisi wananchi tunamuahidi kumrudisha bungeni bila ya hata kampeni

Apr 4, 2019
31
33
Kwasababu shughuli nyingi za vyama vya Siasa zimesimama kutokana na hili janga la Corona,

Nafikiri Serikali ingezihamisha *fedha za ruzuku kwa vyama vya Siasa* ili zipelekwe wizara ya afya zisaidie kununua vifaa kika na vifaa tiba kwa ajili ya Ugonjwa wa Corona!

Naamini vyama vyote vitaunga mkono kupambana na Ugonjwa huu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thubutu!! Ukitaka waungane na kuwa kitu kimoja, ajitokeze Mbunge kiherehere ailete hiyo hoja mezani uone watakavyo mshambulia kama nyuki.

Ila hata mimi sipo tayari kukata kiasi chochote kwenye haka kamshahara kangu kadogo kwa ajili ya hiyo Corona! Labda wachukue Payee yote, makato ya bima ya afya au ile 2% tunayokatwa kwa nguvu na vinavyoitwa eti "vyama vya wafanyakazi"
 
Wanannchi sie tutakua wa kwanza kumfanyia kampeni na huyu tutamuona kama mkombozi mmbunge yeyote atakaeweza kuhakikisha jimboni kwake hakuna mgonjwa wa korona kwa kutumia ruzuku yake basi hana haja ya kampeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujua kuna bunge lenye umoja wa kitaifa na maridhiano, jaribu kugusa pesa zao, ambazo technically ni zetu wananchi...

Hao wanaweza kupitisha hoja walimu wakatwe mishahara 30% ila wabunge wakatwe 3%...

Waziri Mpango, hana mpango, anawaza kupaisha makusanyo TRA...yule microphone na Betina wake ndiyo sisemi...

Everyday is Saturday......................:cool:
 
Na hawashindwi hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom