Mbunge asema SSRA acheni kukaa ofisini nendeni field mkaonane na wafanyakazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge asema SSRA acheni kukaa ofisini nendeni field mkaonane na wafanyakazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nikupateje, Aug 7, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,239
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mbunge wa pili wa kuchangia bajeti ya Kazi amesema SSRA waache kukaa ofisini waende makazini wakaongee na wafanyakazi.

  Kwamba hata haya yote yanayoendelea ni kwa sababu hawaendi makazini wanatunga sheria kulingana na wanavyoona au kushauriwa na wakubwa na wenye makampuni bila kuwashirikisha wafanyakazi. Ndiyo inayosababisha hata wageni kujazana humu nchini.

  NImesahau jina lakini ni yule aliyechangia baada ya Pro. Mwakyusa.
   
 2. papason

  papason JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,023
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Acha awadanganye tuuu, wakijidanganya wakaja tunawachinja, binafsi nimepania kung'oa wigi la huyo mama ssra, ole wake!
   
Loading...