Mbunge aomba CHADEMA wapewe adhabu kama ilivyofanya Mudhihir-Video | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge aomba CHADEMA wapewe adhabu kama ilivyofanya Mudhihir-Video

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mazengo, Feb 9, 2011.

 1. Mazengo

  Mazengo Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5


  Mimi nilibahatika kupata muda wa kutizama Bunge jana japo kwa muda mfupi. kwanza niligundua kua huyu mama mbunge aliyekua anaomba CDM wapewe adhabu ana lake jambo. Toka awali alionekana ama kuomba mwongozo wa spika ama kutoa taarifa wakati tindu Lissu akichangia mada. Hadi ilifikia stage madame speaker akawa anapuuzia na kumwambia Lisu aendelee kuongea. Sijui huyu mama katumwa? ama anatafuta cheo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  Mjomba hueleweki, wengine hatukuona bunge ungetuambia walikuwa wanazungumzia nini
   
 3. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umetuacha gizani, Tupe mwanga japo wa tochi ya simu
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kuwa specific mjomba!

  Huyu mama ndio nani na ni mbunge wa wapi?

  Actually Mbunge unaemwongelea ni Eng Stella Manyaya, ambaye alisimama na kusema kuwa wabunge wa CDM wametoka nje bila kuinama mbele ya FIMBO YA SIWA(ile inayoletwa na msafara), ambapo alidai ni makosa kwa kanuni za Bunge, na kwamba walistahili kupigwa BAN(kupewa adhabu kali!

  Lakini alikatwa kauli na Speaker baada ya kujibiwa kuwa kiongozi Mbowe alikuwa wa kwanza kutoka, na yeye(Mbowe) aliinama kutoa heshima, na ndipo akatoka, kwahiyo kama waliokuwa nyuma yake hawakuinama haina shida kikanuni!..
  Aliona aibu sana mama huyu, ambaye binafsi nimekuwa nikimwamini hasa baada ya ukweli kuwa alikuwa mjumbe wa tume maaalum ya Bunge ya Mwakyembe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hivi huyu ana uhusiano na Richmond?
   
 6. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Stella Manyanya Engineer njaa aliyekimbilia Bungeni kupiga siasa hana lolote huyu. Nachelea kusema kwamba HUU UBUNGE WAKE WA KUTEULIWA UNATIA SHAKA SI AJABU NI MWENDO ULEULE WA CHUPI! Kama ni Engineer kweli aende site akapige kazi aondoe umbeya wa kike Bungeni.

  Sijui alisomea wapi Engineering yake. Nijuavyo kwa mwanamke kuwa Engineer ni very rare. Sana sana huyu ni wale wanaopewa Digrii za CHUPI! Aliwahonga ngono lecturers na Professors akaukwaa huo Ui-engineer fake. Mtu ambaye ni Engineer wa uhakika IQ yake lazima iwe juu na hivo anakuwa na upeo mkubwa wa kufikiri.

  Lakini huyu Engineer fake Stella anaongea na kutoa hoja za kipuuzi kabisa. Hivi lipi la maana hapa;CCM kubadilisha KANUNI ili kutaka kuua upinzani Bungeni au CHADEMA kutoka nje ya ukumbi wa Bunge?Naona hata wabunge wenzake wa CCM wamemzomea. Pambaf!
   
 7. H

  Haika JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  unajua kuna namna mtu unapotea na kuonekana hata hoja ulioitoa hainamaana, wakati labda ina maana.
  Maamuzi ya kuongea pale unapokuwa na hasira mara nyingi si mazuri, na utakachocommunicate kinaweza kuonyesha instability ya akili yako.
  Kama hapa unaonyesha udhaifu sijui tuite IQ au vipi, kuna uhusiano gani kati ya hoja za kipuuzi na haya unayoyasema?
  hebu jaribu kujipanga ki-hoja zaidi, najua ukijitahidi unaweza.
   
 8. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu mama anaitwa Mh.Eng. Stella Manyanya na kwakweli jana nilimshangaa kwa jinsi alivyoonesha siasa za majitaka pale ambapo Chadema walikuwa wanaongea. Huyu mama anaonekana amepania kupambana na Tindu Lisu kwasababu kila mara Lisu alipokuwa akiongea huyu Engineer aliamka na kuomba mwongozo wa spika ili kumpinga Lisu. Ni kweli tuliona hadi spika alikasirika na kumpuuza. Yeye anadhani kwasababu ni eng. basi anafiti kupambana na lisu wakati mwenzake ni Mwanasheria. Huyu mama alikuwa kwenye kamati ya Mh shelukindo ikafichua uozo wa richmond lkn naona tayari akili zake kwa sasa mafisadi wameshazichakachua. Pia nilifurahi kumuona Mh. Zitto Kabwe akiungana na wenzake kutoka nje ya bunge kupinga kufungishwa ndoa na CUF na hii imeonesha kua hakuna mpasuko ndani ya Chadema kama watu wanavyodhania.
   
 9. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280


  Watu wanahasira zao ndiyo maana wanaongea hivyo.............Hii ni kutokana na CCM na wana CCM kudhania kuwa hii nchi ni ya kwao peke yao na wengine tupo hapa kwa huruma yao. Na ukiona watu wanaanza kuonge hivyo ujuwe siku Bongo ikienda ki-Tunisia then mtaani hakutatosha.
   
Loading...