Mbunge anapokuwa mvunja sheria: Mch. Peter Msigwa na ajira za watoto

bhikola

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,130
1,660
Picha inajieleza. Haki za watoto ziheshimiwe, komesha ajira za watoto.

Hongera sana Mheshimiwa Msigwa kwa kuwa mfano bora kwenye kilimo

Lakini pia hongera sana kwa kubebesha watoto wenye umri chini ya miaka nane ndoo za lita 20 zilizojaa nyanya

Wewe kama mbunge ulitakiwa uhakikishe hao watoto wanakuwa shule muda huu, lakini unetumia umasikini wao kama nafasi ya kupata cheap labour .

Sio tu unatenda dhambi kama Mchungaji, bali pia ni aibu sana kwa kiongozi kuajiri watoto wadogo kama hawa kukuvunia nyanya zako ingelikua katika nchi zenye taasisi imara mama nchi za dunia ya kwanza Msigwa ungelisema maji mma.

View attachment 438629
 

Attachments

  • 1479924006030.jpg
    1479924006030.jpg
    79 KB · Views: 80
Picha inajieleza. Haki za watoto ziheshimiwe, komesha ajira za watoto
Hapa naweza kusema umekurupuka, kwasabu huna uhakika kama vizo nyanya ni za kwake na hao watoto amewajiri!!!
Njoo na taarifa kamili
 
Kwani kama kakemea kwenye kata au wilaya wewe utajuaje? Tena eleza hilo shamba lake liko wapi na ni siku gani alipigwa hiyo picha. Na mbona sura haionekani wazi tujue ni Msigwa kweli?
 
Nyie watu kwa unafiki mnatisha, hawa watoto wa kizazi hizi hata debe la mahindi wakibeba ni ajira kwa watoto? Umelima shamba la nyanya ukivuna na wanao tabu, kizazi hiki ndo maana wanakuwa marioo, mashoga, wapaka wanja.
Watoto wangapi iringa kwa Msigwa wanatakiwa kuwa shule na hawapo?
 
Kwani huyu msigwa si ana tafutwa na ndalichako kwa kumpiga mwanafunzi kule Mbeya yaani mpiga picha umempiga picha mtuhumiwa bila kumripoti polisi ngoja tutakutumbua inawezekana wewe ndo ulitukosesha kale ka tuzo ka Forbes
 
Back
Top Bottom