Mbunge aliyeondoka CHADEMA na kuhamia CCM aomba kurudi CHADEMA

Msiwapokee
Hawa wanatumwa kuja kuwavuruga
Chadema huwa mnakera na huruma zenu wakati mwingine
Kama ameichoka ccm a ahamie ccm b aka act Chadema kumejaa kumeenea kunatosheleza
Siasa haipo hivi. Huwa sikubaliani na haya mambo ya kukaza sana.
Nyalandu aliondoka CCM, wamemkaribisha Tena
Lowassa hivyohivyo
Hata Hawa Kama wanarudi basi Ni sawa kabisa
 
Aende Kwa Zuchu (Chuchu)
Kuna Song Lake Moja Ameweka Haya Maneno
"Mbivu Zinaniozea, Mpweke Moyo Wangu Ulishindwa Ona..........)

Anatapatapa Mwalimu
 
Halafu uyu jamaa taaluma yake ni mwalimu,ndio maana taaluma yao haiheshimiki kwa hapa TZ
Kwamba wanaohama chama na kurudi ni walimu au ni mtazamo wako tu?

Siasa za hii nchi ni za 'bendera fuata upepo' hazihusiani na taaluma za watu. Na ndio maana yeyote anaweza kuchagua chama anachotaka kuwa mfuasi.

Kuwa na taaluma fulani hakuna uhusiani kabisa na mtu kukosa msimamo au kuhamahama chama au hata kuwa kirukamto au kirumbembe! Ni maamuzi tu
 
Hasipokelewe kamwe,hao wanarudi kwa mkakati maalumu uliopikwa na viwavi jeshi walikokuwa huko. Narudia hasipokelewe kamwe.
 
Siasa haipo hivi. Huwa sikubaliani na haya mambo ya kukaza sana.
Nyalandu aliondoka CCM, wamemkaribisha Tena
Lowassa hivyohivyo
Hata Hawa Kama wanarudi basi Ni sawa kabisa
Sio sawa
Mtatangatanga mpaka lini?
Ukiyajua haya Maandiko Matakatifu apply kwenye siasa
 
Siasa haipo hivi. Huwa sikubaliani na haya mambo ya kukaza sana.
Nyalandu aliondoka CCM, wamemkaribisha Tena
Lowassa hivyohivyo
Hata Hawa Kama wanarudi basi Ni sawa kabisa

Arudi ila sio kupewa cheo tena. Huyo ni baadhi ya watu waliochangia kuharibu haiba ya wapinzani na upinzani kwa ujumla. Nyalandu, Lowasa, Sumaye nk wamerudi ccm ili kulinda mali zao za wizi, kwani kwa mali walizo nazo, kuwa nje ccm ni kutafuta fedheha kwenye maisha. Je huyo mwalimu anarudi cdm kulinda nini? Arudi ila cheo anatakiwa akione kama uchi wa mama yake.
 
Back
Top Bottom