Mbunge aliyeghushi sain ya PINDA,agundulika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge aliyeghushi sain ya PINDA,agundulika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 30, 2011.

1. B

Bajabiri JF-Expert Member

#1
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Katibu wa Bunge amesema kuwa tayar wameshambain mbunge aliyegushi sain ya pinda,na waziri mkuu ndiye atakayepewa jina lake,wamesema hawatamchukulia hatua zozote ila Pinda ndo atakaeamua,inasadikika kuwa anatokea Rukwa japo Joel hakumtaja jina wala chama
Sosi Nipashe

2. LordJustice1

LordJustice1 JF-Expert Member

#2
Jul 30, 2011
Joined: Jan 19, 2011
Messages: 2,264
Likes Received: 10
Trophy Points: 0
Lengo la Mbunge huyo lilikuwa ni lipi hasa mpaka aghushi saini ya PM?

3. Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

#3
Jul 30, 2011
Joined: May 26, 2009
Messages: 7,928
Likes Received: 103
Trophy Points: 160
Hawatamchukulia hatua kwa vile hajafanya kosa au kwa vile ni mbunge wa CCM?

4. B

Bajabiri JF-Expert Member

#4
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Tena baadh ya wabunge wenzie walimuonya ila hakutaka kusikia,,,,,na walimuona wakat anaiandika hiyo barua

5. Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

#5
Jul 30, 2011
Joined: May 26, 2009
Messages: 7,928
Likes Received: 103
Trophy Points: 160
akili za kitoto zinawasumbua wabunge wengi wa ccm.

6. Memo

Memo JF-Expert Member

#6
Jul 30, 2011
Joined: Jan 17, 2011
Messages: 2,147
Likes Received: 17
Trophy Points: 135

Mkuu, ukiwa mwizi unaiba tu hata vitu visivyo na maana, na wakati wote unawaza wizi tu!
Hao ndo wabunge wa CCM mazoea, wanawaza wizi na upuuzi tu muda wote.

7. Shark

Shark JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Jan 25, 2010
Messages: 20,103
Likes Received: 7,352
Trophy Points: 280
Kughushi ni kosa la jinai, ila kwakua mkosaji ni jamii ya magamba hiyo ndo imetoka tena!

8. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,375
Likes Received: 19,640
Trophy Points: 280
rukwa kuna wabunge wa vyama gani?

9. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Angetakiwa naye apewe awe PM kama alivyo mwenye sain.

10. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Dah! Hawa watu ndio wawe wakwanza kupimwa akili teh!

11. B

Bajabiri JF-Expert Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Katibu wa bunge nadhan anamstili huyu atakua mbunge wa chama cha mabadiliko

12. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#12
Jul 30, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,375
Likes Received: 19,640
Trophy Points: 280
mbunge wa ccm huyu

13. Kiranga

Kiranga JF-Expert Member

#13
Jul 30, 2011
Joined: Jan 29, 2009
Messages: 34,607
Likes Received: 6,185
Trophy Points: 280
Rais Karume (mdogo) wa Zanzibar alisema kweli alipoulizwa na waandishi kuhusu kumuwajibisha Waziri wake aliyekosea, alisema Tanzania hatuna wajibu wa kuwajibishana.

If the info is correct. Then.

Bunge linataka kuepuka wajibu wake kwa kutaka kumpelekea Waziri Mkuu kesi hii.

Bunge haliko chini ya Waziri Mkuu, Waziri Mkuu ni kiongozi wa shughuli za serikali bungeni, kwa nini bunge linataka kumpelekea na kumuachia Waziri Mkuu uamuzi?

Katika dhana nzima ya "separation of powers" Waziri Mkuu hawezi kumuadhibu mbunge, kazi ya kutoa hukumu ya kinidhamu kwa wabunge ni ya bunge.

Kwa nini bunge linakwepa wajibu?

14. B

Bajabiri JF-Expert Member

#14
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

15. B

Bajabiri JF-Expert Member

#15
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

umefafanua vizuri sana,ila sasa hakuna wa kuzungumza,na endapo atatokea MBUNGE akazungumza basi atatolewa njeeeee

16. B

Bajabiri JF-Expert Member

#16
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

hahahahaaaaaaa,ivuga eeeee,ngoja mwenyewe PINDA ASEME

17. Likwanda

Likwanda JF-Expert Member

#17
Jul 30, 2011
Joined: Jun 16, 2011
Messages: 3,854
Likes Received: 45
Trophy Points: 145
Kughushi saini ni kosa la jinai hivyo hakuna haja ya suala la ushikaji, hapo mtuhumiwa lazima apelekwe polisi kama wezi wengine.

18. Money Maker

Money Maker Senior Member

#18
Jul 30, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 147
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kughushi saini na kuwasha mic kuomba mwongozo lipi kosa baya zaidi?shame on them magamba!

19. Ms Judith

Ms Judith JF-Expert Member

#19
Jul 30, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 2,569
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
kwa kweli hata mimi niliposoma habari hii nilijuliza sana swali hili!!

kweli tanzania kazi tunayo!

20. Ms Judith

Ms Judith JF-Expert Member

#20
Jul 30, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 2,569
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
sasa ni wazi kuwa kwa tz hawaangalii ukubwa wa kosa, bali nani aliyetenda kosa!!

kweli nchi hii tuna safari ndefu sana!

Loading...