Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,115
- 35,129
Vipi kuhusu....Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohojiwa na gazeti la Nipashe
Kwa upande wake kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe alipoulizwa na Nipashe kuhusu suala hilo alisema
Kama maslahi hayatoshi aache kazi ya Ubunge.
"Wabunge wasipoogopa wananchi hawatakuwa wabunge, Wakati Rais anawaambia wafanyakazi hawawezi kupandishia mishahara kwa sababu ya hali ya uchumi, Mbunge anataka malipo zaidi ni hujuma kwa Rais".
#Nipashe
View attachment 1828316
-Wabunge wa Covid 19 kuendelea kuwepo bungeni huku wakivuta mbunga mrefu wakati ni kinyume cha Katiba, Chongole na Zitto wanasemaje?
-Na wale wabunge waliopiga meza na kuunga mkono hoja ya Mbogwe yakuongezewa mshahara, Chongole na Zitto wanasemaje?