Mbunge aliye mwambia Raisi Kikwete anachekacheka afutiwa mashitaka

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,320
6,806
Kwa mujibu wagazeti la Mwananchi la leo tar 08/03/10...
Mbunge wa viti maalumu CUF Mh Nuru Awadh wa wilaya ya Tanga mjini aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumkashifu raisi Kikwete kuwa; hawezi kuongoza anachekacheka ovyo tu na kutaka sifa za hovyo. Amefutiwa mashitaka bila maelezo ya sababu ya kufuta mashitaka hayo.............
 
sababu ni mazungumzo ya seif na karume................. na serikali ya mseto visiwani...........................
 
kuchekacheka kwa mh Rais kuliwahi hata kuelezewa na Adam Lusekelo wa Daily News baada ya kusikia kunampango wa BOT kutengengeza Notes mpya za pesa, akapinga JK picha yake isije ikatumika, akasema itawachanganya watalii ambao watahisi ni tangazo la dawa ya mswaki.
ni ujinga kumshitaki mtu kwa kueleza kuwa Rais wetu anachekacheka hovyo, ni upotevu wa muda, na raslimali watu, ndo maana naamini Mapolisi wetu wakati mwingine wanafanya kazi kama sehemu ya Jumuia za CCM.
kIKWETE KWA KUCHELKA CHEKA BANA, UNGEPELEKEA MTU AENDE JELA MIEZI SITA KWA KASORO YAKO.
Mbona Nyerere aliitwa mchonga ama KIFIMBO, mkapa aliitwa Ukapa , na mzee Mwinyi ALIITWA mzee Ruksa
 
Amefutiwa mashitaka kwasababu hana mashitaka ya kujibu,alichoongea ni sawa na cha kweli tupu!!
 
kuchekacheka kwa mh Rais kuliwahi hata kuelezewa na Adam Lusekelo wa Daily News baada ya kusikia kunampango wa BOT kutengengeza Notes mpya za pesa, akapinga JK picha yake isije ikatumika, akasema itawachanganya watalii ambao watahisi ni tangazo la dawa ya mswaki.
ni ujinga kumshitaki mtu kwa kueleza kuwa Rais wetu anachekacheka hovyo, ni upotevu wa muda, na raslimali watu, ndo maana naamini Mapolisi wetu wakati mwingine wanafanya kazi kama sehemu ya Jumuia za CCM.
kIKWETE KWA KUCHELKA CHEKA BANA, UNGEPELEKEA MTU AENDE JELA MIEZI SITA KWA KASORO YAKO.
Mbona Nyerere aliitwa mchonga ama KIFIMBO, mkapa aliitwa Ukapa , na mzee Mwinyi ALIITWA mzee Ruksa

"akasema itawachanganya watalii ambao watahisi ni tangazo la dawa ya mswaki" Mkuu umenifunja mbafu syangu........hahahaaaaaaaaaaaa!
 
serious, nitatafuta tarehe ya lile gazeti ama nitaiscan humu ama nitainsert date ya gazeti hilo la daily News ili kila mwenye uwezo wa kupata maktaba kwake akajisomee
 
Dah, itakuwa vizuri sana mkuu tujisomee wenyewe.
Hiyo tabia huenda ni katika kulazimisha mvuto ili aonekane kijana!?
 
Back
Top Bottom