Mbunge alalamikia Dawa za kuongeza nguvu za kiume bungeni!!!

Yaani Mpaka bunge hili liishe natumaini tutaona mpaka rangi ya upepo!
 
Philipa Mturano mbunge wa viti maalumu CDM anachangia bajeti ya wizara ya afya na kulalamikia dawa za kuongeza nguvu za kiume. Anasema wanaume wakitumia hizo dawa inakuwa balaa kwa akina mama. Katolea mfano wa jamaa aliyekunywa dawa hizo huko Kimara mwisho uume ukakuwa na kufikia uzito wa kilo 12.........huyu mama anaonekana kama ni mhanga vile anavyoongea kwa uchungu!!
aisee.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom