Mbunge alalamikia Dawa za kuongeza nguvu za kiume bungeni!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge alalamikia Dawa za kuongeza nguvu za kiume bungeni!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katavi, Jul 11, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Philipa Mturano mbunge wa viti maalumu CDM anachangia bajeti ya wizara ya afya na kulalamikia dawa za kuongeza nguvu za kiume. Anasema wanaume wakitumia hizo dawa inakuwa balaa kwa akina mama. Katolea mfano wa jamaa aliyekunywa dawa hizo huko Kimara mwisho uume ukakuwa na kufikia uzito wa kilo 12.........huyu mama anaonekana kama ni mhanga vile anavyoongea kwa uchungu!!
   
 2. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  da, huyu mbunge noma, mwenye contact zake anipm!
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahah!! Unamtakia nini?
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  msimulia mvua.............
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hivi kweli vtu vya msingi vyyakuchangia vmeisha?
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo mbunge mpaka analalamika hivyo ujue Mr nae kajilipua!! Pole dada ndio maisha ya ndoa yanataka uvumilìvu! Utazoea ucjali
   
 7. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  sasa wizara hapo sijui ifanyaje? amesahau ni mkongaraa ya maasai?
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Anataka wizara ya afya idhibiti haya madawa!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaah!! We chatu wewe.....!!
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu,Wakati huyo mbunge anaongea alikuwa kwenye hali gani?
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  pole sana mh mbunge....amesema yeye kwa uzoefu wake kakutana na kilo ngapi.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahaah!!! Alikuwa siriaz lakini wabunge wenzake ilikuwa ni wakati wa kurelax kwa vicheko..
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hajasema....
   
 14. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  labda lidhahama lishamkuta na kuacha under...
   
 15. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mhh 12kg?
   
 16. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kilo kumi na mbili za hiyo kitu zinapimwaje?
   
 17. l

  ligra New Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole mama
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mizani kwani inapima nini?
   
 19. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  imemnyea!
   
 20. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  unapima uzito then unatoa ule wako wa kawaida
  tofauti ndo kilichoongezeka ....ha haa haaaa
  kakutana na hii dhoruba apewe pole
   
Loading...