Mbunge ala kona na tani 100 za mahindi Musoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge ala kona na tani 100 za mahindi Musoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 11, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,657
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa sasa wa chadema mkoa wa musoma ,amesema amempa aliekuwa mbunge wa sehemu hiyo bwana vedasto mathayo kuleta tani 100 akiziona kwa macho yake vinginevyo atamfungulia mashtaka..mh nyerere alyasema hayo wakati wa mkutano na kudai serikali imetoa kibali cha musoma kuchukua tan 100 za mahindi kuleta musoma na kwa kuwa nilikuwa bize tukampa mh huyuatusaidie kuchukua kibali na tangu hapo kila akipigiwa apokei na wakati mwingine anakata simu

  habari zaidi zinasema mh mathay o hana mpango wa kupeleka mahindi hhayo musoma na kilichonileta ni baada ya kupata taarifa anafanya nacho biashara na kama wana musoma nimeapa tutakufa nae kwa hili...na kwa taarifa yenu mahindi anayauza kenya kwa kusaidiana na mkuu mmoja wa polisi na kwa kweli upuuzi huu atutakubali hata kidogo nasema wazi...aidha habari zinasema mbunge huyo kupitia kampuni yake ya fresh ya shamba alichukua mahindi mengi wikimoja iliopita na ajulikan kayapeleka wapi..huku akitoa onyo iwapo hatotoa ndani ya muda huo nittaamuru raia wakachukue sembe kwenye viwanda vyake na sehemu za biashara kufidia upuuzi huo huku sheria zikifwata mkondo wake

  mura tafuna hiyo mtu aina aja ya kufikisha polisiiiii aisee nani kasema tata ,chacha mnafikiisha watu mahakamani mbona kule kipunguni mkichinja wezi mnafukia huyu anatofauti gani afikishwe mahakamani ..???
   
 2. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  mmmh, hivi niulize, mtu unahitaji kibali cha nini katika biashara ya mazao humu nchini? ni kibali kwa ajili gani....
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..kwa kifupi habari yako Sijaielewa P.Didy. Acha papara unapoandika(type). Tulia
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tanzania kwa kibali, Kila kitu kibali kila kitu kibali.
  Nafikiri ndio njia za kuhalalisha Rushwa na ufisadi sababu kuu ni urasimu.
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  duh! Hii kali...
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwanza kabisa hakuna mkoa wa musoma ndani ya nchi hii ya kambarage.

  Pili kama alivyoshauri mdau mmoja hapo juu punguza mchakamchaka unapoandika ili ueleweke vizuri
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,657
  Trophy Points: 280
  hapa usipo mmmh
  Kuna mahindi ya serikali yanatolewa kwa ajili ya njaa sasa mbunge nyerere alikuwa aende kuchukua kibali ,,kwa ajili Ya wananchi wa musoma tani 100 ziko shinyanga,,wakamwomba aliekuwa mbunge mh mathayo..akachukue awapelekee wananchi wa musoma..aliekuwa mh huyu amechukua kibali mahindi ayajaja musoma na simu apokei na wanadai walionagari zake zikiwa namahindi kuelekea kenya

  soma mwananchi kwa msada zaidi
   
Loading...