Mbunge akiri kumdhalilisha(verbal abuse) msichana wakati wa ujana wake.

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Mbunge wa jimbo la mwibara ametoa kauli na kukiri aliwahi kudhalilisha.

Hawa ndio aina ya viongozi(wabunge) tulionao,inashangaza hatua mbalimbali wanazopitia mpaka kuteuliwa kuwakilisha wananchi je ni kweli mfumo wetu umeshindwa kuchuja watu ili kupata viongozi waadilifu?usalama wa taifa uko wapi?
Tutegemee nidhamu gani bungeni iwapo kuna baadhi walishawahi kuwa wadhalilishaji wa wanawake?
Nawasilisha....
 
Amesema alipokuwa kijana wakati akitafuta mke aliwahi kumwambia binti "kwa sura uliyonayo wewe labda unilipe mahari wewe ndio nikuoe"kwa sababu binti huyu hakuwa na mvuto!
 
Back
Top Bottom