Mbunge akiendelea kunyonyesha wakati akichangia hoja kwenye moja ya kikao cha Bunge nchini Brazil

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
10,208
2,000
A Brazilian MP breastfeeds her child at an open debate in the National assembly. #Motherhood#Respect

What do you think?

13775783_2091728054384860_7621050216410660174_n.jpg
 

iw8

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
367
500
Safi sana.
Watoto wachanga na Wale wa umri wa kunyonya kwa kweli wamekua wakisahaurika kutimiziwa huduma Kwa wakati.
(Kunyonyeshwa).
Kwa sababu ya u busy wa maisha wa wazazi.
Fursa ya kunyonyesha wakati wa kazi ni vyema
 

Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,386
2,000
A Brazilian MP breastfeeds her child at an open debate in the National assembly. #Motherhood#Respect

What do you think?

13775783_2091728054384860_7621050216410660174_n.jpg
Safi sana. Nilipendakauli ya Rais wa Uturuki kama sikosei ' Jukumu la mama kupata watoto lisiwafanye washindwa kufanya kazi/ kuajiriwa' Majukumu yote yanatakiwa kwenda sambamba.
 

KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,525
2,000
Safi sana, ila kwa hawa wakwetu hakuna anayeweza kuwa na moyo wa kufanya kama huyu mama.
 

Rwazi1

JF-Expert Member
May 3, 2013
986
1,000
Mke wangu kutoa nyonyo nje kunyonyesha au kwa sababu nyingine ni kunihujum. Kwanini asitoke humo akanyonyesha na kurudi! Hata kwenye basi na sehem za wazi huwa simwelewi mama kutoa nyonyo nje kisa kunyonyesha. Sio vizuri. Hiyo nayo ni sehem ya siri. Wanaishusha hadhi yake ya asili. Kama uko kwa watu unamfunika dogo na titi lake ananyonya tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom