Mbunge agawa pesa

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,957
2,068
Mimi ni mfanya biashara nilikuwa nataka kufungua duka la jumla kibaha,wenyeji wangu wakanieleza kuna kabila la wangweno,hawataki mtu mwingine kufanya biashara kama sio mgweno watakuloga,kwa utafiti wangu wanaogopeka sana kibaha,je tutafika kama watu bado wanaimani za kichawi kwa kiwango hiki
 
Sasa huu tukiuliza ni uchizi au ni ulevi, tutakuwa tumefanya makosa?

Naomba usipige beer kabla ya kuanzisha thread mpya.

Hicho kichwa cha habari kinahusiana nini na hiyo stori ya wangweno?
 
Sasa huu tukiuliza ni uchizi au ni ulevi, tutakuwa tumefanya makosa?

Naomba usipige beer kabla ya kuanzisha thread mpya.

Hicho kichwa cha habari kinahusiana nini na hiyo stori ya wangweno?
Nilidhani sitasema hivi kamwe, lakini hapa umesema kweli
 
Sio kama nimelewa najitahidi kuedit heading inarudi hiyo hiyo,msaada
 
Hahahahah! ahsante kwa kurudi na kuonyesha tatizo. Rekebisha tuendelee maana nimekimbilia fasta hiyo heading nilichokikuta hadi nguvu sina.
 
Back
Top Bottom