Mimi ni mfanya biashara nilikuwa nataka kufungua duka la jumla kibaha,wenyeji wangu wakanieleza kuna kabila la wangweno,hawataki mtu mwingine kufanya biashara kama sio mgweno watakuloga,kwa utafiti wangu wanaogopeka sana kibaha,je tutafika kama watu bado wanaimani za kichawi kwa kiwango hiki