Mbunge agawa pesa

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
2,116
2,335
Mbunge wa ccM jimbo la kibaha,stanley Koka siku ya jpili alikuwa akigawa pesa ktk vikao vya harusi nane, kwenye bar iitwayo Bamboo mbunge huyo alikuwa akilalama pesa katumia nyingi kwenye uchaguzi wamsamehe kwa kutoa kidogo mchango wa harusi,mbunge huyo ambaye hakubaliki anajitahidi kurudisha imani kwa wananchi
 
watanzania wengi sasa ni wasomi na huwezi wadanganya kwa vishilingi kama hivyo...(especially wanaoishi mjini)
Nampa pole huyo Mbunge angetafuta njia nyingine ....
sanasana watachukua hela zake halafu ifikapo wakati wa uchaguzi tena
wanampigia kura mtu mwingine kabisa......
 
Huyu mbunge si alichakachua hizo kura! maana yule wa CDM alishindaga ktk matokeo ya wali kwa niaba ya wasimamizi wa vituo! Shame!!
 
Wasiwasi wake nini mpaka anatoa hela? Au ameshtuka uchaguzi utarudiwa?
 
huyu jamaa anawasisi sana keshajua uchaguzi utarudiwa,watu wa kibaha hawatamchagua tena so anajikomba kwa wananchi anatoa vimichango ktk harusi wamchague
 
Imekula kwake! Anahaha sasa kwa sababu anajua watu wana expectations kubwa toka kwa mbunge ili hali yeye anajua fika kuwa hakubaliki na kwamba hana mikakati ya kuendeleza jimbo la Kibaha mjini. Let's wait.
 
Back
Top Bottom