Elections 2010 mbulu Marmo kashindwaaa

siku zote wale wanaotaka mabadiliko ni wale wenye maono na utashi usio wa kinafiki .Marmo na wana CCM kama yeye walishazoea habari za ndio mzeee ...watanzania wa kizazi hiki sio wa jana ! wanataka mabadiliko ! kama hakuna madiliko huwafai ..Ishu sio CCM maana shibuda alisema CCM sio mama yake! Habari ndio hiyo ...Maandalizi 2015 ..Slaa jenga chama usijali .
 
Hataki kusign lakini ndio hivyo tena tofauti ni kubwa saana zaidi ya kura 20,000
 
Back
Top Bottom