Mbuge wa Cuf kuhama Chama chake: Tunajifunza nini?

Kuna watu mnashangaza sana kma mleta mada ya upinzani ukimeguka lawama ni kwa upinzani kwamba umechoka ila hamuangalii mazingira ya siasa za sasa hapa Tz mnaconclude tu lawama kwa upinzani huongelei demoralization inayofanywa mfano

Kamata kamata upinzani

Kuuawa kwa viongozi mfano mawazo

Kutekwa kma saanane

Kushambuliwa kma lisu

Uchakachuzi wa kura na vipigo juu kma tulizoshuhudia last weekend

Kuzimwa bunge ambayo ilikua platform ya upinzani kujijenga

Kuzuiwa mikutano iliokuwa chanzo kikubwa cha upinzani kupanuka mfano M4C

N.k

Haya yote husemi kuwa yanaleta hofu kwa wapinzani kuhusu 2020 ndio maana wengine wanakata tamaa kujikuta anarudi CCM .... Haya huongelei ila unasema tu hawana mikakati.... Hiyo mikakati unapanga saangapi wakati hta mikutano ya ndani na yenyewe ni kizungumkuti kma kilichomkuta mashinji kule nyasa!!! ???

Ukitaka kulaumu upinzani rudisha privilege zao za zamani alafu upime sio unawafunga minyororo alafu unasema HAWANA STRATEGY hii sio bandiko la kisomi kwa mtu makini kukuelewa

Hapo unasema ETI mikutano business as usual...... Ila hushangazwi magufuli anafanya mikutano kila kukicha!!! Kwanni magufuli husemi naye business as usual kufanya mikutano ila unashangaa upinzani kulilia mikutano

Unapotaka kutoa hoja kuwa neutral ili watu wajifikirishe wenyewe sio unaongelea positive za serikali alafu kwa upinzani unaongelea negative side ... Bandiko linakosa credibility kabisa ndio maana unalalamika wanakuita kuwa umenunuliwa i see the reason why
 
Amegundua kuwa hakna ukawa bali kuna ukiwa ndiomaana kata zote kulikuwa na wagombea udiwani wa vyama vyote muungano uko wapi hapo?
 
Amegundua kuwa hakna ukawa bali kuna ukiwa ndiomaana kata zote kulikuwa na wagombea udiwani wa vyama vyote muungano uko wapi hapo?
Muungano upo ila CUF imekufa sababu ya mgogoro wa lipumba wa kulazimisha kuwa mwemyekiti ssa chadema wakiipisha CUF ina maana wanabariki uhuni wa lipumba

Ila lipumba akirudi ccm ukawa itarudi otherwise maalim na watu wake waingie chadema au chadema waunde chama kimoja na maalim
 
Mleta mada huna hoja watanzania tunahitaji maji safi viwanda na maendeleo sio wapinzani kuhamia ccm au ndio maendeleo tulio haidiwa kwamba wapenzani kuhamia ccm ndio uchumi wa viwanda?
 
Ukitaka kujua mleta mada ni mzandiki, katoa mada kisha anajibiwa kakimbia. Hapa anapewa ukweli na unafiki wake uko peupe. Katika mazingira ambayo nguvu ya jeshi ndio inayojibu hoja unategemea wapinzani watumie njia gani. Ili wapinzani waweze kupambana na mazingira ya sasa ambayo mwenyekiti wa ccm hawezi wala kupenda siasa za ushindani inabidi watumie silaha za moto.

CC: siasa basi
 
Wana Kinondoni waliikataa CCM halafu huyu jamaa leo anasema anaiunga mkono Kinondoni
Huu ndio usaliti
 
Back
Top Bottom