Mbuge wa Cuf kuhama Chama chake: Tunajifunza nini?

Siasa Basi

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
1,493
4,276
Jana, Decemba 2/2017, Mbunge wa Kinondoni (CUF), Dar es salaam, Ndugu Maulid Said Mtulia, kwa hiari yake alijiuzulu uanachama wa CUF na ubunge akitoa sababu moja kubwa – kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli. Kwamba ahadi za upinzani wakati wa kampeini za uchaguzi mkuu (2015) tayari zimetekelezwa na Serikali ya Chama Cha mapinduzi (CCM), hivyo amejikuta ‘jobless’. Uamuzi huu umeshusha na utaendelea kuathiri credibility ya upinzani kwa ujumla hadi chaguzi za 2020 na pengine 2025.

Hili si jambo la kufurahia hata kidogo lakini si jambo la kulaumu yeyote. Tanzania inahitaji upinzani imara, lakini si huu wa sasa. Upinzani hapa nchini unatakiwa kusukwa upya kuendana na kasi na mkakati kwa kiwango cha uongozi wa JMP. Ni bahati mbaya kuwa JPM alivyosema kuwa katika uongozi wake hasingevumilia viongozi aina ya ‘business as usual’, wapinzani hawakumelewa. ‘Political Osmosis’ tunayoishuhudia sasa ni ‘impact ya elimination of business as usual mentality’ serikalini na katika uongozi wa CCM kwa ujumla.

Kwa miaka 25 sasa vyama vya siasa (hata CCM kabla ya 2016) viliendeshwa kwa ‘autopilot’ au ‘business as usual style’. Malalamiko ya wananchi tunayoyashuhudia sasa dhidi ya hali mbaya ya maisha ni matokeo ya utaratibu wa ‘autopilot leadership’ uliokuwa ukiendesha vyama vya siasa ‘and by extension, Serikali. Vyama vya siasa kuendesha mikutano ya hadhara nchi nzima 24x7x12 ilikuwa sehemu ya ‘autopilot leadership’ iliyokuwa imedumza vyama vya siasa kama ilivyokuwa semina za kila siku serikalini.

Badala ya kukaa na kutafakari mkakati na namna sahihi ya kufanya siasa katika mazingira mapya katika uongozi wa nchi pasipo kuruhusu ‘prevalence of autopilot leadership mentality’, tena kwa manufaa ya vyama vyenyewe, upinzani uliamua kuzodoa, kukejeli, kulalamika na kutafuta huruma za wananchi pasipo kutambua athari za kukumbwa na ‘political osmosis’ kitambo siku za usoni.

Kwa tabia yake ya kutosoma alama za nyakati, upinzani nchini haukutaka hata kusikiliza ushauri wa kitaalam kutoka kwa wabobezi wa maarifa na uzoefu katika kuendesha vyama vya siasa hususan vya upinzani. Hakika sasa tunaweza kusema kwa uhakika kuwa viongozi na vyama vyao ‘will continue to pay the price of their rudeness’. Tusubiri maana ninakumbuka uongozi wa mojawapo ya vyama vya upinzani, hata nilipojitolea kutaka kuwasaidia kuelewa na kisha wajipange ki-mkakati na ki-mbinu kuendana na muktadha mpya wa kisiasa hapa nchini, uliitikia kwa kunituhumu kuwa nilikuwa nimenunuliwa.

Tuendelee kusubiri hadi mwisho wa matokeo ya ‘political osmosis’ maana hivi sasa vyama vya upinzani vinaongozwa na 'nature' (nguvu za asili) pamoja na ‘busara za viongozi’ katika mukhtadha wa kisiasa wa zamani. Hawana program za ki-mikakati katika mukhtadha mpya wa siasa za Tanzania.

It is shame!
 
upload_2017-12-3_17-37-30.png
Kwa style hii sidhani ,kama ulichokiongea kina make sense ndani ya akili yangu.
 
Tunajifunza uhuru wa kikatiba wa kuwa mfuasi wa chama chochote cha siasa. Over
 
Blackmail is an act, often criminal, involving unjustified threats to make a gain—most commonly money or property—or cause loss to another unless a demand is met. It is coercion involving threats to reveal substantially true or false information about a person to the public, a family member, or associates, or threats of physical harm or criminal prosecution
 
Jana, Decemba 2/2017, Mbunge wa Kinondoni (CUF), Dar es salaam, Ndugu Maulid Said Mtulia, kwa hiari yake alijiuzulu uanachama wa CUF na ubunge akitoa sababu moja kubwa – kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli. Kwamba ahadi za upinzani wakati wa kampeini za uchaguzi mkuu (2015) tayari zimetekelezwa na Serikali ya Chama Cha mapinduzi (CCM), hivyo amejikuta ‘jobless’. Uamuzi huu umeshusha na utaendelea kuathiri credibility ya upinzani kwa ujumla hadi chaguzi za 2020 na pengine 2025.

Hili si jambo la kufurahia hata kidogo lakini si jambo la kulaumu yeyote. Tanzania inahitaji upinzani imara, lakini si huu wa sasa. Upinzani hapa nchini unatakiwa kusukwa upya kuendana na kasi na mkakati kwa kiwango cha uongozi wa JMP. Ni bahati mbaya kuwa JPM alivyosema kuwa katika uongozi wake hasingevumilia viongozi aina ya ‘business as usual’, wapinzani hawakumelewa. ‘Political Osmosis’ tunayoishuhudia sasa ni ‘impact ya elimination of business as usual mentality’ serikalini na katika uongozi wa CCM kwa ujumla.

Kwa miaka 25 sasa vyama vya siasa (hata CCM kabla ya 2016) viliendeshwa kwa ‘autopilot’ au ‘business as usual style’. Malalamiko ya wananchi tunayoyashuhudia sasa dhidi ya hali mbaya ya maisha ni matokeo ya utaratibu wa ‘autopilot leadership’ uliokuwa ukiendesha vyama vya siasa ‘and by extension, Serikali. Vyama vya siasa kuendesha mikutano ya hadhara nchi nzima 24x7x12 ilikuwa sehemu ya ‘autopilot leadership’ iliyokuwa imedumza vyama vya siasa kama ilivyokuwa semina za kila siku serikalini.

Badala ya kukaa na kutafakari mkakati na namna sahihi ya kufanya siasa katika mazingira mapya katika uongozi wa nchi pasipo kuruhusu ‘prevalence of autopilot leadership mentality’, tena kwa manufaa ya vyama vyenyewe, upinzani uliamua kuzodoa, kukejeli, kulalamika na kutafuta huruma za wananchi pasipo kutambua athari za kukumbwa na ‘political osmosis’ kitambo siku za usoni.

Kwa tabia yake ya kutosoma alama za nyakati, upinzani nchini haukutaka hata kusikiliza ushauri wa kitaalam kutoka kwa wabobezi wa maarifa na uzoefu katika kuendesha vyama vya siasa hususan vya upinzani. Hakika sasa tunaweza kusema kwa uhakika kuwa viongozi na vyama vyao ‘will continue to pay the price of their rudeness’. Tusubiri maana ninakumbuka uongozi wa mojawapo ya vyama vya upinzani, hata nilipojitolea kutaka kuwasaidia kuelewa na kisha wajipange ki-mkakati na ki-mbinu kuendana na muktadha mpya wa kisiasa hapa nchini, uliitikia kwa kunituhumu kuwa nilikuwa nimenunuliwa.

Tuendelee kusubiri hadi mwisho wa matokeo ya ‘political osmosis’ maana hivi sasa vyama vya upinzani vinaongozwa na 'nature' (nguvu za asili) pamoja na ‘busara za viongozi’ katika mukhtadha wa kisiasa wa zamani. Hawana program za ki-mikakati katika mukhtadha mpya wa siasa za Tanzania.

It is shame!
Tanzania siyo lazima kabisa iwe na Upinzani ndipo iendelee, Tanzania inahitaji Uongozi kama wa Magufuli na siyo Vyama utitiri.
 
Tunajifunza kuna pesa za kuchezea wakati vijijini hatuna maji. Ati Bashite alikuwa ana andaliwa uwaziri.
Walisahau ata pingwa kwa majina ya kugushi....
 
Tanzania siyo lazima kabisa iwe na Upinzani ndipo iendelee, Tanzania inahitaji Uongozi kama wa Magufuli na siyo Vyama utitiri.
Wewe ndiyo unae support hoja ya wanao sema " mi afrika ndivyo ilivyo". Poor you.
You need redemption fella.
Umezoweshwa gereza hadi unaona ndiyo nyumbani kwako! Ole wao hao waliokufunga gerezani miaka yote ya maisha yako bila kosa.
 
Gereza baya Duniani ni Chadema ambamo awamu nne m/kiti ni Mbowe pekee
 
Nakubaliana na mleta mada kwa asilimia kubwa kwamba pamoja na madudu ya chama tawala, bado wapinzani hasa viongozi na vyama vyenyewe.Viongozi wamekosa vision na hivyo kwenda kwa agenda za muda mfupi tu.
 
Gereza baya Duniani ni Chadema ambamo awamu nne m/kiti ni Mbowe pekee
Hujielewi, hata hujui gereza ni nini. Unahitaji kukombolewa rafiki. Pole sana. Lakini Siku yaja, kuta za hilo gereza zitaanguka, yes, zitaanguka kwani ni Kazi ya mikono miovu ya binadamu waovu. Omba uwe hai ushuhudie maisha nje ya hilo gereza!
 
Tanzania siyo lazima kabisa iwe na Upinzani ndipo iendelee, Tanzania inahitaji Uongozi kama wa Magufuli na siyo Vyama utitiri.
Ur not serious?? Unajua kazi ya upinzani?? Hivi bila upinzani mngegawa hio wizara ya nishati na madini???

Mngefanya reforms bandarini

Mngemkamata seth??

Mngepunguza gharama

Mngeanza vita feki ya madawa ya kulevya??

Madini je??

Upinzani ni muhim sana hta kma mtauibia kura usiingie ikulu ila ni muhim kuwa na bunge lenye 50-50 ya ccm na upinzani ili uwajibikaji wa serikali uwepo kma sio upinzani imara hata huyo magufuli asingewahi pitishwa na ccm milele na upinzani ukifa ccm wataridhika na watafanya ufisadi zaidi ya awamu yoyote ile
 
Back
Top Bottom