Mbuga Ya Wanyama Ya Ruaha Yatajwa Kwenye 21 Bora

Kisa cha kuwa ya 21 ni kipi mkuu?

ni miongoni mwa maeneo bora 21. haijamaanisha kwamba ni ya 21. au swali lako limelenga katika kufahamu ni vigezo vipi vime ifanya ruaha kua ni bora katika maeneo 21? kama ni hilo ukifata hiyo link nadhani utapata majibu
 
Chuttle haimo kwenye vivutio bora kutembelea?? Maana soon itakuwa kama kwa Mobutu...facilities zote za Jiji zitakuwepo ila watumiaji hakuna....wale punda wanasubirikupita kwenye traffic lights
 
Back
Top Bottom