Mbuga ya Loliondo mali ya Mwarabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbuga ya Loliondo mali ya Mwarabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maarko, Aug 3, 2012.

 1. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 972
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  Katika nchi ambayo raslimali zake inaporwa na Watu hovyo nadhani Tanzania itakua inaongoza Duniani,mfano mbuga ya lolionda،wanahamisha wanyama wetu wanawapeleka kwao،ipo siki watalii badala،ya kuja kwetu wataenda Arabuni kuona wanyama.
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,617
  Likes Received: 1,469
  Trophy Points: 280
  ipo thread kuhusu hii issue na picha .. search " waarabu wa loliondo "
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,847
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  title na content haviendani..nilidhani unataka kutuonyesha umiliki wa waarabu mbuga ya loliondo...ninavyojua mimi loliondo iliuzwa awamu ya mwinyi kwa waarabu chini ya ukurugenzi wa ndolanga na twiga wameibiwa awamu ya jk chini ya maige
   
 4. m

  majebere JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,373
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Aise mbona mnarudia hizi stori kila siku. Hamna singo mpya nini?
   
 5. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 972
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  Ni kweli iliuzwa wakati wa mwinyi،lakini mpaka leo kuna wanyam
  a wadogowadogo wanasafirishwa kwenda Arabuni,kuna uwanja wa ndege hukohuko ndege zinatua na kuruka bila ukaguzi wow
  ote wa serikali y
  etu tukufu.
   
 6. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  vipi kuhusu babu wa kikombe, je naye ni mali ya waarabu?
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Ni mali ya kanisa!
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,617
  Likes Received: 1,469
  Trophy Points: 280
  hehehe mkuu babu anawafuase wake humu subiri waje wakuvamie
   
 9. M

  Mkirindi JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 2,812
  Likes Received: 574
  Trophy Points: 280

  This is not true at all, wanyama ni wengi na wameongezeka, anyone who has gone to loliondo will realize that huyu sheikh wa Dubai anafanya mengi sana MAZURI kwa wenyeji wa loliondo. Kujenga Visima vya maji ambayo ni kitu muhimu kwa wana lololiondo, shule, hospitali , nk

  Yeye anatumia sehemu hiyo kwa mapumziko, utalii na kuwinda kufuatiya sheria. wenyeji wa loliondo hawatakubaliana nanyi hata siku moja they are very happy and willing partners, cause they benefit more than what any govt has ever done for them including Nyerere.


   
 10. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Mkirindi
  Hakika Utakuwa Mburushi au Mmanga kwa jinsi ulivyotoa povu ktk utetezi wako hadi umemtaja Hayati Baba wa Taifa sbb hakuruhusu upuuzi wa jamaa zako hao!
   
 11. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2014
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 12,560
  Likes Received: 4,015
  Trophy Points: 280
  16:05 3rd August 2012
   
Loading...