Mbuga 3 za Tanzania zaingia kwenye vivutio 25 bora duniani: Serengeti yaongoza, Mlima Kilimanjaro nafasi ya 12 na Mbuga ya Tarangire nafasi ya 14

Ingekua mara ya kwanza kwenu nyie kupata hizi tuzo labda ingekua dili, lakini kutajwa wenye vivutio bora, sio mara ya kwanza, ila kama nilivyosema, haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali....dayaspora wa Buza...aka ze ze ze
Povu la nini jamaniiii

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Halafu kingine dayaspora wa Buza, kingereza huwa kinawanyima sana kwenye hili, mgeni anaingia anapokewa na mtu ambaye muda wote ni ze ze ze hajijui anasema nini....kuna sehemu nilisoma kwamba asilimia kubwa ya watalii wanaokuja Bongo hawarudi tena, subiri nifukue hizo takwimu, kwanza ni takwimu zenu wenyewe...
Vivutio mnakua navyo bora lakini havina umuhimu kama wenyewe ni wale wale...
Ona ulivyokuwa mtumwaaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ili kumfariji mzee baba, mwambieni burigi ilikuwa ya 567 lakini tangu mwaka uanze imepanda kwa kasi mpaka ya 26 ni kwa sababu tu hiyo list imeishia 25 ingeendelea burigi ingekuwepo.
 
Ingekua mara ya kwanza kwenu nyie kupata hizi tuzo labda ingekua dili, lakini kutajwa wenye vivutio bora, sio mara ya kwanza, ila kama nilivyosema, haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali....dayaspora wa Buza...aka ze ze ze
What's your point? That "Tanzanians can't speak English" or that "Serengeti's high recognition is not valuable"?

First, English proficiency does not determine the intelligence of a person. The more languages one knows the more access they have to opportunities, but being unable to master English is not as big a deal as you are trying to insist here.

Second, this achievement provides positive publicity which goes a long way. Tourism's contribution to the economy is on a growing trend. Our focus now is strategizing beyond post-Covid, and any positive publicity is a welcome stepping stone.
 
Kwanini Burigi-Chato haikuingia, mh Raisi Magufuli tumbua watumishi hapo Burigi wanakuangusha haiwezekani mbuga nzuri kama Burigi isiwepo katika list
 
Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor.

Tuzo hizo hutolewa na kampuni hiyo inayoshushughulika na kutoa mrejesho wa mahoteli na vivutio mbalimbali duniani.

Hifadhi tatu nchini Tanzania zimeibuka kidedea kati ya hifadhi 25 zilizotajwa kwenye tuzo hizo Serengeti ikishika nafasi ya kwanza duniani Hifadhi ya Masai Mara ya nchini Kenya imeshika nafasi ya tatu huku mbuga ya wanyama Tarangire ikishika nafasi ya 14 na hifadhi ya Mlima Kilimanjaro ikishika nafasi ya 12.

Akizungumza na BBC Dira ya dunia Waziri wa Mali Asili na utalii nchini Tanzania Dkt Damas Ndumbaro amesema tuzo hiyo ni yenye umuhimu mkubwa kwa Serengeti na secta ya utalii nchini Tanzania na Afrika Mashariki.

"Tuzo hii tumepata ushindi kutokana na kazi nzuri tunayo ifanya ya kuhifadhi mbuga hii maarufu ya Serengeti,lakini pia na huduma bora ukiwa Serengeti unaweza ukaona Wanyama kwa urahisi na vizuri zaidi"

Serengeti pekee kwa mwaka hupokea wastani wa wageni laki tatu na nusu hadi laki tano ambao huja kushudia maajabu yaliyoko kwenye eneo hili ambalo ni urithi wa dunia ikiwa na na ukubwa wa kilomita za mraba 14750 kila mwaka hushuhudia mamilioni nyumbu ambao wanahama kutoka hifadhi Masai mara nchini Kenya ambayo nayo kwenye tuzo hizi imeshika nafasi ya tatu. Utalii kama zilivyo sekta nyingine kote duniani umeathirika na uwepo wa maradhi ya Covid-19.

Mamlaka ndani ya hifadhi zimejiwekea mkakati maalumu kuhakisha wageni wanakuwa salama muda wote wawapo hifadhini ikiwa ni Pamoja na kuweka kituo cha ukusanyaji wa sampuli, kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti mamlaka zinasema lengo ni kuharakisha upimaji lakini pia kuwapatia muda wakutosha wageni kuwa hifadhini.

Mhifadhi mkuu wa Serengeti Masana Mwishawa anasema kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kituo hicho maalum ndani ya hifadhi hukusanya sampuli ambazo hutumwa kwenye maabara ya taifa jijini Arusha kila siku na wageni kutumiwa majibu na vyeti vyao vya uthibitisho kwa njia ya mtandao.

Tanzania imekuwa ikikosolewa kwakutotoa hadharani takwimu za maambukizi ya virusi vya corona nchini humo toka ilipofanya hivyo mwezi aprili mwaka 2020 na hata msimamo wake juu ya chanjo ya maradhi hayo ambayo inaendelea kutolewa maeneo mengine duniani.

Kwa sasa Serengeti inasheherekea ushindi wake katika kipindi hiki kigumu duniani huku ikiendelea kujizatiti kuhakikisha usalama wa wageni wake jambo ambalo linawapa watalii Imani ya kuendela na mipango yao ya kutembelea mbuga za wanyama Tanzania na hata visiwa vya Zanzibar.

Chanzo: BBC swahili

-====


Tumewakeeeera majirani wa Maasai Mara
Nzuri hii
 
I never expected that you are such a fool.

Endelea kuokoteza kingereza ukoko ila mpaka utafahamu ze ze ze inawaharibia, asilimia 80% ya watalii hawarudi licha ya nyie kuongoza duniani kwa vivutio bora vya utalii. Kweli haupewi vyote, uchague raslimali au ubongo lakini sio vyote.
 
hawa majamaa yetu konyo sana wakipewa ukweli mchungu utasikia msiwasikize mabeberu hao ila wakisifiwa kama hivi basi kutwa kucha wanainua mabango ya kujisifia utafikiri wendawazim. nyambaff kabisa
 
Back
Top Bottom