Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbozi Mashariki na Magharibi CHADEMA wanaongoza

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by msaragambo, Oct 31, 2010.

 1. m

  msaragambo Senior Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa upande wa Ubunge kwa majimbo ya Mbozi Mashariki na Magharibi Chadema wanaongoza kwa kura za Ubunge pamoja na udiwani......nitaweka idadi kadri nitakavyozipata
   
 2. E

  Eliyona Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fasta baba, fasta.
   
 3. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Belezee. Batu banasuri victory ya Papaa Slaa na makamanda bake
   
 4. m

  msaragambo Senior Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sumbawanga mjini Chadema Wanaongoza(hiii ni mara ya kwanza toka vyama vingi vimeanzishwa)
   
 5. c

  chanai JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  faster, tunasubiri mkuu
   
 6. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  maijimbo ya mwanza (Ilemela na nyamagana) chadema wanaongoza sana, huko arusha na moshi chadema wameshika usukuani. Na sasa hivi Makamba na wenzake wa ccm wapo kwenye kikao cha siri, sasa isije kuwa wanajadili jinsi ya kuchakachua haya matokeo ili washinde. Lakini hali ni tete vibaya sana
   
 7. g

  gillard Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ole wao!
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,822
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  tz mpya hiyooo very soon
   
 9. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,041
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wela weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
   
 10. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,493
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kwa taarifa tu hakuna tena kitu kinaitwa kikao cha siri kwa CCM. Wakimaliza kuongea tunapata updates hapa JF!! That is the way it is period.
   
 11. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 886
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mvua ya mawe haitawaacha salama, manake mkono wa Mungu ninaona huu juu ya anga la TZ
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 62,029
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  We will still remind you to get the statistics..................
   
Loading...