Uchaguzi 2019 Mbowe, Zitto na Mbatia mnashindwa wapi?

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
7,134
Points
2,000

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
7,134 2,000
Viongozi wa upinzani mmefanya mengi, mmepitia mengi na magumu, na kwa kuyapitia hayo, bila shaka mmejifunza mengi.

Kinachonisikitisha na nadhani kuwasikitisha walio wengi, ni kushindwa kutambua nguvu ya UMOJA. Timefundishwa toka shule za msingi, tuna misemo na nahau zinazoelezea umuhimu na nguvu ya Umoja.

Ukilinganisha vyama vya upinzani na CCM, vyama vya upinzani ni wanyonge. Kuna msemo usemao:

"Fimbo ya mnyonge ni UMOJA"
Kwa nini hamtaki kuitumia fimbo hii kumtandika anayewaonea Goliath?

Goliath ana umbile kubwa, ana jeshi, ana polisi, ana TISS, ana TV na redio, ana viwanja kila kona, kubwa zaidi ana mamlaka. Utamshindaje wewe mwenye umbile dogo, huna mamlaka ya kumwamrisha hata sungusungu? Ina maana hamjui:

"Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu"?

Ninachoshindwa kuwaelewa viongozi wa upinzani:

Kwa nini hamuungani? Kwa nini hamshirikiani na kushikamana?

1) Je, ni ubinafsi?
2) Tamaa ya madaraka na ukubwa?
3) Ni kushindwa kuielewa nadharia ya umoja?
4) Ni kukosa maono?

Nina hakika, hata haya tunayoyapitia na kuyaona sasa, ni kutokana na udhaifu wa vyama vya upinzani katika kutengeneza umoja wenye nguvu. Na adui yenu hana wasiwasi nanyi, hana mashaka nanyi ya kuwafanyia chochote kwa sababu anajua hamjashikamana.

Kwa kawaida, dhuluma huleta umoja lakini hapa kwetu haiwi - kwa nini?

Mimi nilitarajia, hata kwenye hili la kujitoa kwenye huu mchakato mchafu wa uchaguzi wa serikali, vyama vya upinzani kama vile CHADEMA, ACT, NCCR, CHAUMA, n.k. vingetoka kwa pamoja, na kutoa kauli ya pamoja, na kuamua kuchukua hatua za pamoja kuliko kila chama kutoa kauli kikiwa pekee yake.

Miaka yote hii - Mbowe, Zito, Rungwe, Mbatia, mmeshindwa kujenga umoja wenye nguvu, umoja ambao ni tishio? Kuwa na chama zaidi ya kimoja, ni jambo jema maana inaweza kutokea kama kilichoitokea CUF, halafu options zikakosekana.

Ushauri wangu, mzee Hashim Rungwe, wakutanishe vijana wako ili kujenga alliance yenye nguvu. Alliance itakayoonekana kama ni chama kimoja cha siasa chenye idara za CHADEMA, ACT, NCCR, CHAUMA, n.k. Matamko yote, maelekezo yote yatolewe na hii alliance. Punguzeni nguvu za vyama vyenu ili mpeleke nguvu kwenye alliance.

Na alliance itoke na tamko moja
"Sisi ni wamoja. Akishambuliwa mmoja, tumeshambuliwa wote. Akifungwa mmoja kwa kuonewa tumeonewa wote. Akidhulumiwa mmoja tumedhulumiwa sote"
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
6,389
Points
2,000

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
6,389 2,000
Huu ni uzi bora kabisa kipindi hiki cha uchaguxi, nadhani hapo linacjoshindikan ni kutokana na Ubinafsi, uchoyo wa madaraka, sifa, majivuno, kujikweza na ndio Maana Kwa roho hizo hizo Zitto alijitoa Chadema, Slaa aliondoka wakati maalum wa UKAWA kete moja iliyokuwa bora kuwaondoa CCM.

Wakati mwingin ukifikiria hawa wapinzani unaweza kusema hawana tofauti na CCM

Lipumba, Slaa, Zitto ni watu wa hovyo sana kiwaamini kwa jambo lolote.
 
Chuda Kashara

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
850
Points
1,000

Chuda Kashara

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
850 1,000
Ccm waliponajisi mchakato wa katiba waliungana wakawa UKAWA Wananchi tukawapokea na kuwapa kura 12m+. Hata sasa ccm imetia najisi uchaguzi mdogo na kama wataungana na kuhitaji nguvu yetu kwa namna yoyote iwayo tupo tayari mradi tuondokane na hili jinamizi.
 
abubakar MT

Senior Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
121
Points
250

abubakar MT

Senior Member
Joined Jul 31, 2017
121 250
Pythagoras,
Wewe na mleta mada mumemaliza yote niliyotaka kuyaongea. Lkn pia umemsahau Maalim Seif nae kadhoofisha nguvu, unaona kabisa yupo yupo tu kwa sasa yeye akili yake yote si kwa ajili ya Utanzania, yy ni Uzanzibari tu ndio uliomjaa.

Nimalizie kusema Uzi huu watosha kuwa ndio bora na wa kufungia mwaka.
 
Milindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2009
Messages
1,310
Points
1,500

Milindi

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2009
1,310 1,500
Viongozi wa upinzani mmefanya mengi, mmepitia mengi na magumu, na kwa kuyapitia hayo, bila shaka mmejifunza mengi.

Kinachonisikitisha na nadhani kuwasikitisha walio wengi, ni kushindwa kutambua nguvu ya UMOJA. Timefundishwa toka shule za msingi, tuna misemo na nahau zinazoelezea umuhimu na nguvu ya Umoja.

Ukilinganisha vyama vya upinzani na CCM, vyama vya upinzani ni wanyonge. Kuna msemo usemao:

"Fimbo ya mnyonge ni UMOJA"
Kwa nini hamtaki kuitumia fimbo hii kumtandika anayewaonea Goliath?

Goliath ana umbile kubwa, ana jeshi, ana polisi, ana TISS, ana TV na redio, ana viwanja kila kona, kubwa zaidi ana mamlaka. Utamshindaje wewe mwenye umbile dogo, huna mamlaka ya kumwamrisha hata sungusungu? Ina maana hamjui:

"Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu"?

Ninachoshindwa kuwaelewa viongozi wa upinzani:

Kwa nini hamuungani? Kwa nini hamshirikiani na kushikamana?

1) Je, ni ubinafsi?
2) Tamaa ya madaraka na ukubwa?
3) Ni kushindwa kuielewa nadharia ya umoja?
4) Ni kukosa maono?

Nina hakika, hata haya tunayoyapitia na kuyaona sasa, ni kutokana na udhaifu wa vyama vya upinzani katika kutengeneza umoja wenye nguvu. Na adui yenu hana wasiwasi nanyi, hana mashaka nanyi ya kuwafanyia chochote kwa sababu anajua hamjashikamana.

Kwa kawaida, dhuluma huleta umoja lakini hapa kwetu haiwi - kwa nini?

Mimi nilitarajia, hata kwenye hili la kujitoa kwenye huu mchakato mchafu wa uchaguzi wa serikali, vyama vya upinzani kama vile CHADEMA, ACT, NCCR, CHAUMA, n.k. vingetoka kwa pamoja, na kutoa kauli ya pamoja, na kuamua kuchukua hatua za pamoja kuliko kila chama kutoa kauli kikiwa pekee yake.

Miaka yote hii - Mbowe, Zito, Rungwe, Mbatia, mmeshindwa kujenga umoja wenye nguvu, umoja ambao ni tishio? Kuwa na chama zaidi ya kimoja, ni jambo jema maana inaweza kutokea kama kilichoitokea CUF, halafu options zikakosekana.

Ushauri wangu, mzee Hashim Rungwe, wakutanishe vijana wako ili kujenga alliance yenye nguvu. Alliance itakayoonekana kama ni chama kimoja cha siasa chenye idara za CHADEMA, ACT, NCCR, CHAUMA, n.k. Matamko yote, maelekezo yote yatolewe na hii alliance. Punguzeni nguvu za vyama vyenu ili mpeleke nguvu kwenye alliance.

Na alliance itoke na tamko moja
"Sisi ni wamoja. Akishambuliwa mmoja, tumeshambuliwa wote. Akifungwa mmoja kwa kuonewa tumeonewa wote. Akidhulumiwa mmoja tumedhulumiwa sote"
Msipoungana na kuwa kitu kimoja!!! Hakika hamtaweza kamwe!!!
Nasubiri Muungane niwape kura
 
dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,687
Points
2,000

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,687 2,000
Pythagoras,
Wewe na mleta mada mumemaliza yote niliyotaka kuyaongea. Lkn pia umemsahau Maalim Seif nae kadhoofisha nguvu, unaona kabisa yupo yupo tu kwa sasa yeye akili yake yote si kwa ajili ya Utanzania, yy ni Uzanzibari tu ndio uliomjaa.

Nimalizie kusema Uzi huu watosha kuwa ndio bora na wa kufungia mwaka.
Labda ungetwambia Maalim Seif amefanya nini?
 
Kikiwo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Messages
1,131
Points
2,000

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2017
1,131 2,000
Viongozi wa upinzani mmefanya mengi, mmepitia mengi na magumu, na kwa kuyapitia hayo, bila shaka mmejifunza mengi.

Kinachonisikitisha na nadhani kuwasikitisha walio wengi, ni kushindwa kutambua nguvu ya UMOJA. Timefundishwa toka shule za msingi, tuna misemo na nahau zinazoelezea umuhimu na nguvu ya Umoja.

Ukilinganisha vyama vya upinzani na CCM, vyama vya upinzani ni wanyonge. Kuna msemo usemao:

"Fimbo ya mnyonge ni UMOJA"
Kwa nini hamtaki kuitumia fimbo hii kumtandika anayewaonea Goliath?

Goliath ana umbile kubwa, ana jeshi, ana polisi, ana TISS, ana TV na redio, ana viwanja kila kona, kubwa zaidi ana mamlaka. Utamshindaje wewe mwenye umbile dogo, huna mamlaka ya kumwamrisha hata sungusungu? Ina maana hamjui:

"Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu"?

Ninachoshindwa kuwaelewa viongozi wa upinzani:

Kwa nini hamuungani? Kwa nini hamshirikiani na kushikamana?

1) Je, ni ubinafsi?
2) Tamaa ya madaraka na ukubwa?
3) Ni kushindwa kuielewa nadharia ya umoja?
4) Ni kukosa maono?

Nina hakika, hata haya tunayoyapitia na kuyaona sasa, ni kutokana na udhaifu wa vyama vya upinzani katika kutengeneza umoja wenye nguvu. Na adui yenu hana wasiwasi nanyi, hana mashaka nanyi ya kuwafanyia chochote kwa sababu anajua hamjashikamana.

Kwa kawaida, dhuluma huleta umoja lakini hapa kwetu haiwi - kwa nini?

Mimi nilitarajia, hata kwenye hili la kujitoa kwenye huu mchakato mchafu wa uchaguzi wa serikali, vyama vya upinzani kama vile CHADEMA, ACT, NCCR, CHAUMA, n.k. vingetoka kwa pamoja, na kutoa kauli ya pamoja, na kuamua kuchukua hatua za pamoja kuliko kila chama kutoa kauli kikiwa pekee yake.

Miaka yote hii - Mbowe, Zito, Rungwe, Mbatia, mmeshindwa kujenga umoja wenye nguvu, umoja ambao ni tishio? Kuwa na chama zaidi ya kimoja, ni jambo jema maana inaweza kutokea kama kilichoitokea CUF, halafu options zikakosekana.

Ushauri wangu, mzee Hashim Rungwe, wakutanishe vijana wako ili kujenga alliance yenye nguvu. Alliance itakayoonekana kama ni chama kimoja cha siasa chenye idara za CHADEMA, ACT, NCCR, CHAUMA, n.k. Matamko yote, maelekezo yote yatolewe na hii alliance. Punguzeni nguvu za vyama vyenu ili mpeleke nguvu kwenye alliance.

Na alliance itoke na tamko moja
"Sisi ni wamoja. Akishambuliwa mmoja, tumeshambuliwa wote. Akifungwa mmoja kwa kuonewa tumeonewa wote. Akidhulumiwa mmoja tumedhulumiwa sote"
Kwani wana maono ya pamoja? Kila chama kivyake ndo maana CDM kule Bungeni katika mawaziri kivuri hawakushirikisha wenzao wa upinzani. Hope this time ZZK atawashirikisha wa CDM 2020
 
magu2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
2,187
Points
2,000

magu2016

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
2,187 2,000
Msipoungana na kuwa kitu kimoja!!! Hakika hamtaweza kamwe!!!
Nasubiri Muungane niwape kura
Si walishaungani wakajiita UKAWA (UKIWA) na hakufua dafu. Tena kwa sasa hivi ndiyo hawataweza kabisa zaidi watanyea debe kama alivyofanywa Mh. Mbowe mwaka jana na mkawaacha pekee yao kule Segerea au umesahau!
 
Forum statistics

Threads 1,366,126
Members 521,386
Posts 33,360,834
Top