kwani hao wabunge wanaosemwa wapo Chadema?Kwani Membe yuko CCM?!
kwani hao wabunge wanaosemwa wapo Chadema?Kwani Membe yuko CCM?!
Ndio!kwani hao wabunge wanaosemwa wapo Chadema?
Tangu lini? wewe kweli upo nchi hii?Ndio!
Haikuhusu. Kwani unaowatetea wamefukuzwa bungeni?Haki inayocheleweshwa ni haki inayominywa hivyo ni vema uongozi wa juu wa Chadema ukawatendea hski wabunge wake kwa kusikiliza rufaa zao mapema.
Kwa sasa haijulikani mwenyekiti wa Chadema taifa yuko wapi na yeye ndio mwenyekiti wa kikao cha Baraza kuu kitakachosikiliza rufaa za wabunge hao.
Inajulikana kuwa makamu mwenyekiti anaishi Ubelgiji siyo Tanzania.
Maendeleo hayana vyama!
Unataka wapate haki ipi? Kama ni ubunge si walishapewa na spika na wanaendelea nao? Sasa watakosa haki ipi?Haki inayocheleweshwa ni haki inayominywa hivyo ni vema uongozi wa juu wa Chadema ukawatendea hski wabunge wake kwa kusikiliza rufaa zao mapema.
Kwa sasa haijulikani mwenyekiti wa Chadema taifa yuko wapi na yeye ndio mwenyekiti wa kikao cha Baraza kuu kitakachosikiliza rufaa za wabunge hao.
Inajulikana kuwa makamu mwenyekiti anaishi Ubelgiji siyo Tanzania.
Maendeleo hayana vyama!
Haki ya kusafishwa majina yao kwa uzushi mliowazushia!Unataka wapate haki ipi? Kama ni ubunge si walishapewa na spika na wanaendelea nao? Sasa watakosa haki ipi?
Acha majungu wewe . Mbowe ni tajir kabla hata wewe Hujaja mjiniMbowe aache pesa ya milion moja kila kichwa cha covid 19
CCM na NEC mbona imewasafisha kwamba ni halali kabisa na hawana kosa lolote. Kwani hiyo haitoshi?Haki ya kusafishwa majina yao kwa uzushi mliowazushia!
hahahha anapata Faru John nini? hahahahahahah