Mbowe yuko wapi mbona Rufaa za wabunge Halima Mdee hazisikilizwi na wanachama hawaelezwi sababu?

Haki inayocheleweshwa ni haki inayominywa hivyo ni vema uongozi wa juu wa Chadema ukawatendea hski wabunge wake kwa kusikiliza rufaa zao mapema.

Kwa sasa haijulikani mwenyekiti wa Chadema taifa yuko wapi na yeye ndio mwenyekiti wa kikao cha Baraza kuu kitakachosikiliza rufaa za wabunge hao.

Inajulikana kuwa makamu mwenyekiti anaishi Ubelgiji siyo Tanzania.

Maendeleo hayana vyama!
Haikuhusu. Kwani unaowatetea wamefukuzwa bungeni?
 
Haki inayocheleweshwa ni haki inayominywa hivyo ni vema uongozi wa juu wa Chadema ukawatendea hski wabunge wake kwa kusikiliza rufaa zao mapema.

Kwa sasa haijulikani mwenyekiti wa Chadema taifa yuko wapi na yeye ndio mwenyekiti wa kikao cha Baraza kuu kitakachosikiliza rufaa za wabunge hao.

Inajulikana kuwa makamu mwenyekiti anaishi Ubelgiji siyo Tanzania.

Maendeleo hayana vyama!
Unataka wapate haki ipi? Kama ni ubunge si walishapewa na spika na wanaendelea nao? Sasa watakosa haki ipi?
 
Siasa ni mchezo mchafu sana. Huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu kwenye siasa. Hii issue ya hawa 19 ilishakwisha kitambo sana.

Kila mwanachama sasa anapaswa kuendelea na maisha yake tu huku akiendelea kukipenda na kukichangia chama. Si kila siku tunasema kwamba CHAMA ni "imani" na kipo "mioyoni mwa mwatu"?
 
Back
Top Bottom