Mbowe, ‘WASIOJULIKANA’ wanaendekezwa na CHADEMA sio serikali(WAY FORWARD)

Mmmhh ndo ajenda ya CDM kutumia wasiojulikana ili wapate huruma ya wananchi
 
Mh Mbowe nakusalimu salamu !

Tukiachana na ulegele wa ngome unayoiongoza ya kutumia mhimili wa mahakama ambapo kesi nyingi za msingi ngome yako imekuwa haifungui mnahishia kulalamika ,chama kilipaswa kuwa na wanasheria nguli wa kushauri ,mfano mkuu wa mkoa anamweka mtu masaa ishirini na nne kinyume na taratibu ,kesho yake mnalaani na kukemea (mkuu ninyi sio manabii au mitume hamnauwezo wa kulaani kwanza kikristo imekatazwa ,na huwezi mkemea mtu ambae amekuzidi,unaweza mkemea baba yako? ) hii kauli ni ya kinyonge semeni tunalishughulikia kwa namna za siri (hostility) na sheria haijakataza kushughulikia jambo kwa siri .

kamata mkuu wa mkoa peleka mahakamani ,kitendo cha kuenda kila siku kusikiliza kesi hata itupiliwe mbali mampunguzia posho za wilayani thats resurt,mkuu UTAWALA WA DEMOKRASIA NA SHERIA NI MBADALA WA VITA NA UGAIDI ,Na msingi mkuu wa chadema ni kuchukua dola kwa njia za kisheria .(Hapa nambinu nyingi ila turudi kwenye topic) RIP MH MTIKILA

Umeona kabisa njia yao wasiojulikana ni kutishia wanaharakati ,kuteka ,kuua etc na hakuna,narudia HAKUNA USHAHIDI KWAMBA WASIOJULIKANA NI MAAFISA WA SERIKALINI ,mbeya kuna mfanyabiashara mmoja alikuwa na shamba kubwa mbalali wakulima walikuwa wanaingiza ngómbe shambani kwake kisha anauliza hakuna anaejitokeza wakishiba mwenye nao anatokea na kuomba radhi na kusema nalipa fidia wakienda kulipishwa analipwa gharama ya kuyahudumia tu akatabasamu .nextime wakaingiza ngombe tena akavuta mashine akaua watatu asee wenyenao walikuja ndani ya sekunde walipomuuliza kulikoni akajibu nawalipa laki tisa bei ya soko ya ngombe watatu ,mpaka leo hakuna mfugaji kasoheza hata mbuzi ,afu jamaa akachinja ngombe akagawa kijiji kizima .

Maana yangu ni nini sasa ni muda muafaka kuanza kujilinda ,mikutano yote ya wapinzani iwe na secret recording tool itayotumika kutoa ushahidi duniani na mahakamani,majengo yote yawe na cctv camera za web saver yaan hata wavamiae ofisi wabebe computer zote na camera kama ishu ya lissu tayari saver web based ishachukua tukio as linahappen hii ni pamoja na hiden cameras ,zipo rock za milango zenye camera ,feni ,peni etc
viongozi wa juu na watu targeted wawe monitored movement zao ,mfano kiongozi kama Zitto eti anajiendea shambani bila siraha wala watu .(sijasema zitto anafanya hivyo) Gari zao ziwe na secret GPS SYSTEM SIO AGHALI SANA SAVER INAKUWA ILE MOBILE .

IN SUMMARY FANYENI KAZI YA WASIOJULIKANA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IWE INAHATARISHA UHAI WAO KULIKO WENU ,SIKU ILE YA LISSU DEREVA ANGEKUWA NA CHUMA LISSU NA CHUMA HAKIKA WANGETUULIA HATA ASIEJULIKANA MMOJA WANAOTUMWA WENGINE WANGEJIFUNZA .
AFU WAKISHA KUWA IDENTIFIED NA WAKALINDWA KAMA YULE ALIETOA BASTOLA JAMII INAHAMASISHWA IMTENGE NA KUMPA STREET JUSTICE MFANO MTAANI KUTOJIBU SALAMU YAKE (HAIKATAZWI KIKATIBA ) ,KUTOHUDHULIA MSIBA WOWOTE WA ASIEJULIKANA ALIEJULIKANA AKALINDWA ETC
NIMECHOKA KUTYPE .....
Mimi nilishauri kitambo kuwa hivi sasa kulialia hakusaidii twende na kanuni ya jino kwa jino, wakitufanyizia na sisi tujibu mapigo kwani hao wanachama wao hawajulikani au wote wana ulinzi? Akumulikae mchana usiku atakuchoma.Enough is enough.
 
Mnapoteka watu huwa ni hoja? Acha uzwazwa was akili was inzi was kijan hapo Lumumba.
mi ndo muanzisha uzi ni wazi siridhishwi na wasiojulikana ,na tuko pamoja ,ila usitumie matusi mkuu lyanatutoa kwenye focus.
 
Mkuu ndo tunasaidiana ,what to do? unajua wasichokijua kifo cha ben saanane kimejenga watu 1,000 ambao wanawaza revenge maisha yote maana hawajaona justice

Hapa mkuu sijaelewa, kifo cha ben saanane? Kafa lini?
 
Ndugu the only, Mbowe anayajua yote hayo, mimi ni ccm, lakini sipendi dhulma na ninapenda siasa za ushindani kwenye uwanja sawa na referee mpenda haki, chama changu kikishinda kishinde kwa mazuri na juhudi ya kazi kwa wananchi.

Kwenye hili la wasiojulikana, Chadema nao wanapenda liwe hivyo, kwani siasa za chadema siku hizi zimejikita badi kwenye kutafuta huruma tuu.

Its time wajitutumuwe, naunga mkono wazo lako. Wasingoje ushahidi uletwe na idara husika , wautafute wakwao ma wauweke wazi, wachape kazi vizuri badala ya kuwekeza sehemu moja tuu, mpaka mambo yanawaharibikia.

Leo wamewekeza nguvu zao kwenye tukio la Tundu Lissu na TL mwenyewe, hizo huruma za alilifanyiwa TL, zimesha fifia sana, na zaidi ni kumjenga mtu mmoja binafsi kuliko chama.
 
Unajua sababu ya vyama vya siasa kuzuiliwa kuwa na vikundi vya Vijana vya ulinzi, lengo ni kwamba iwe rahisi kuwaua na kuwateka, kwa hiyo hayo yanafanywa na serikali na hayatokei kwa bahati mbaya.

Nakumbuka joshua Nasary bunduki yake ilichukuliwa na polisi kwa ajiri ya uchunguzi, Ile dogo akanunua nyingine, wakati Ile haijalejeshwa akavamiwa, sasa utaona jinsi serikali inavyofanya inavyoratibu haya mambo.

Kwa hiyo bunduki zinanunulika kama karanga, serikali ikunyang'anye Kisha ikupe, nyingine alafu ije kukuvamia wakati imekuoa siraha, Sasa lengo la kukunyang'anya maana yake nni Sasa?
 
Mh Mbowe nakusalimu salamu !

Tukiachana na ulegele wa ngome unayoiongoza ya kutumia mhimili wa mahakama ambapo kesi nyingi za msingi ngome yako imekuwa haifungui mnahishia kulalamika ,chama kilipaswa kuwa na wanasheria nguli wa kushauri ,mfano mkuu wa mkoa anamweka mtu masaa ishirini na nne kinyume na taratibu ,kesho yake mnalaani na kukemea (mkuu ninyi sio manabii au mitume hamnauwezo wa kulaani kwanza kikristo imekatazwa ,na huwezi mkemea mtu ambae amekuzidi,unaweza mkemea baba yako? ) hii kauli ni ya kinyonge semeni tunalishughulikia kwa namna za siri (hostility) na sheria haijakataza kushughulikia jambo kwa siri .

kamata mkuu wa mkoa peleka mahakamani ,kitendo cha kuenda kila siku kusikiliza kesi hata itupiliwe mbali mampunguzia posho za wilayani thats resurt,mkuu UTAWALA WA DEMOKRASIA NA SHERIA NI MBADALA WA VITA NA UGAIDI ,Na msingi mkuu wa chadema ni kuchukua dola kwa njia za kisheria .(Hapa nambinu nyingi ila turudi kwenye topic) RIP MH MTIKILA

Umeona kabisa njia yao wasiojulikana ni kutishia wanaharakati ,kuteka ,kuua etc na hakuna,narudia HAKUNA USHAHIDI KWAMBA WASIOJULIKANA NI MAAFISA WA SERIKALINI ,mbeya kuna mfanyabiashara mmoja alikuwa na shamba kubwa mbalali wakulima walikuwa wanaingiza ngómbe shambani kwake kisha anauliza hakuna anaejitokeza wakishiba mwenye nao anatokea na kuomba radhi na kusema nalipa fidia wakienda kulipishwa analipwa gharama ya kuyahudumia tu akatabasamu .nextime wakaingiza ngombe tena akavuta mashine akaua watatu asee wenyenao walikuja ndani ya sekunde walipomuuliza kulikoni akajibu nawalipa laki tisa bei ya soko ya ngombe watatu ,mpaka leo hakuna mfugaji kasoheza hata mbuzi ,afu jamaa akachinja ngombe akagawa kijiji kizima .

Maana yangu ni nini sasa ni muda muafaka kuanza kujilinda ,mikutano yote ya wapinzani iwe na secret recording tool itayotumika kutoa ushahidi duniani na mahakamani,majengo yote yawe na cctv camera za web saver yaan hata wavamiae ofisi wabebe computer zote na camera kama ishu ya lissu tayari saver web based ishachukua tukio as linahappen hii ni pamoja na hiden cameras ,zipo rock za milango zenye camera ,feni ,peni etc
viongozi wa juu na watu targeted wawe monitored movement zao ,mfano kiongozi kama Zitto eti anajiendea shambani bila siraha wala watu .(sijasema zitto anafanya hivyo) Gari zao ziwe na secret GPS SYSTEM SIO AGHALI SANA SAVER INAKUWA ILE MOBILE .

IN SUMMARY FANYENI KAZI YA WASIOJULIKANA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IWE INAHATARISHA UHAI WAO KULIKO WENU ,SIKU ILE YA LISSU DEREVA ANGEKUWA NA CHUMA LISSU NA CHUMA HAKIKA WANGETUULIA HATA ASIEJULIKANA MMOJA WANAOTUMWA WENGINE WANGEJIFUNZA .
AFU WAKISHA KUWA IDENTIFIED NA WAKALINDWA KAMA YULE ALIETOA BASTOLA JAMII INAHAMASISHWA IMTENGE NA KUMPA STREET JUSTICE MFANO MTAANI KUTOJIBU SALAMU YAKE (HAIKATAZWI KIKATIBA ) ,KUTOHUDHULIA MSIBA WOWOTE WA ASIEJULIKANA ALIEJULIKANA AKALINDWA ETC
NIMECHOKA KUTYPE .....
Umeandika kama umechomekewa kipisi .
 
Back
Top Bottom